Pendekezo; M M Mwanakijiji azibe nafasi iliyoachwa na Salva Rweyemamu

Adolf Mark

Member
Nov 4, 2011
50
26
Tangu CCM ilivyompitisha Magufuli na CDM kumpokea Lowassa ndugu M M Mwanakijiji amekuwa na imani kubwa na CCM.

Sasa kwa vile Magufuli ameshinda (kama Mwanakijiji alivyobashiri) na kwa vile Mwanakijiji ni mchambuzi na mwanahabari wa viwango vya kimataifa, naomba ikimpendeza mh Magufuli amteue huyu ndugu kuwa mkurugenzi wa kurugenzi ya mawasiliano, nadhani Mwanakijiji anaendana na kasi ya serikali ya awamu ya tano, HAPA KAZI TU.
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.
 
Mapendekezo yako ungeyaelekeza kule Ujerumani, hasa ukizingatia jina lako!
 
Inaonekana mtu ukianza kuishabikia CCM hata reasoning inaondoka !

Hapo kwenye rangi nyekundu, una-imply kwamba hujaonyesha imani, halafu hapo hapo, sentensi zinazofuata (rangi ya blue) zinaimply kwamba una imani kubwa na utawala huu !

Inashangaza sana !

Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu. Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.

Safu ingekaa vizuri kama ungepewa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utawala bora
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.

Yaani umetengeneza thread halafu ukajijibu mwenyewe,kweli njaa mbaya
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.

Mabadiliko ya kweli ndani ya ccm uliokuwa unaipinga miaka yote au mabadiliko yapi
 
Yuko marekani hata kura hajapiga.kazi yake ni kubwabwaja na uchochezi.

swissme
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.

Kituo gani umepiga kura tapeli tu wewe na mchochezi uko usa hata kura Tz haujapiga.

swissme
 
tuache kufikiria ujinga hivi ni watu wangapi walikuwa na imani na utawala huu na kuutetea wakati wa uchaguzi nao unataka kusema kwa kigezo hcho wapewe uongozi serikalini??nyie ndomana leo hii makamba,mwakyembe,lukuvi hakuna mmoja wapo hapo aliyependekezwa kuwa waziri mkuu mnaanza kusema eti wajifunze,oh mara waache kujipendekeza ni upumbavu....tekeleza wajibu wako onyesha unachokiamini bila kukupesa macho wala kushurutishwa na mtu, MMU alionyesha kile anachokiamini it doesnt mean anadeserve kupewa hicho cheo ulichokisema........
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.

Dah, we bonge la mashine aisee

Ushajua watakaoingia??

ebanaeeeee
 
Uliwaambia lakini nakunukuuu " wapinzani wamejipiga Dole" labda bado hawajalitoa ndio maana wanaona umeonesha Imani lakini ukubwa dawa.

Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.
 
hehehe,hata@Manyerere Jackton kashaanza kujikomba kwa kasi ya ajabu,fuatilia maandiko yake ya karibuni
 
Taratibu bana; nimeonesha imani hiyo wapi? lakini usiwe na shaka watakaozima kuondoka kwa Salva na Premi ni watu makini na kutakuwa na tofauti kubwa tu.

Nimeunga mkono mabadiliko ya kweli na kuyakataa yale feki. Hili halina kuomba radhi au kuinamisha kichwa chini. Hayo mengine tutawaachia wengine.

mtu mwenyewe hata jina lako wala sura yako havijulikani, upo kama mzuka tu
 
haahaa ukiwa bana...sasa hio kazi ya kupendekeza watu makini mbona mmeshindwa kuifanya kwenye chama chenu kuchagua watu makini mnabaki kuchagua mafisadi..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom