Adolf Mark
Member
- Nov 4, 2011
- 50
- 26
Tangu CCM ilivyompitisha Magufuli na CDM kumpokea Lowassa ndugu M M Mwanakijiji amekuwa na imani kubwa na CCM.
Sasa kwa vile Magufuli ameshinda (kama Mwanakijiji alivyobashiri) na kwa vile Mwanakijiji ni mchambuzi na mwanahabari wa viwango vya kimataifa, naomba ikimpendeza mh Magufuli amteue huyu ndugu kuwa mkurugenzi wa kurugenzi ya mawasiliano, nadhani Mwanakijiji anaendana na kasi ya serikali ya awamu ya tano, HAPA KAZI TU.