PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
[h=5]PENDEKEZO LA UANZISHWAJI WA INTERNET RADIO YA CHAMA (COMPLETE)
1. UTANGULIZI
Internet radio sio kitu kipya kwani zimeanza tokea mwaka 1993 na zimekuwa, siku hadi siku, umaarufu wake ukiongezeka. Ongezeko kubwa la wasikilizaji wa internet radio limepelekea kuongezeka internet radio station kufunguliwa kila sehemu.
Internet radio (pia inajulikana kama webradio, netradio, streaming radio, e-radio webcasting) ni aina ya radio ambayo matangazo yake yanarushwa kupitia internet. Kama zilivyo radio za kawaida, internet radio pia unaweza kurusha matangazo yote yakiwemo ya mazungumzo, music, maonyesha, concert, na mengineyo. Inatofautia na Radio za kawaida kama vile AM/FM/DAB kwa vile zinarusha matangazo yake kupitia hewani. Kwenye radio za kawaida mtu yeyote mwenye chombo cha kunasia mawimbi ya sauti anaweza kusikiliza matangazo kwa eneo maalum. Wakati Internet Radio mara ukijiunga unapokea matangazo popote pale ulipo ulimwenguni ukiwa na access Internet.
Kuanzisha internet radio hakuhitaji gharama kubwa wala ujuzi mwingi kama vile uanzishwaji wa radio za kawaida. Hii imeongeza umaarufu wake na kuwezesha kuanzisha internet radio kwa urahisi. Faida nyengine ya internet radio nikuwa huhitaji license kufungua kwake. Ingawa utahitajika kufuata sheria za haki miliki pale unapotaka kurusha vipindi, nyimbo amma kitu chengine kwa ridhaa ya mmliki wake.
Kumekuwa na ukuaji wa haraka kwa Internet Radio, huku simu za mkononi zikijiweka tayari kuchukua sehemu yake kuimarisha na kuendeleza internet radio. Hivyo siku zijazo wasikilizajiwengi wa radio watategemea internet radio kwa vile kukuwa na kujumuishwa (embedded) kwa utumiaji wa simu za mikononi.
2. INTERNET RADIO INAVYOFANYA KAZI
Unaweza kwa urahisi kuanzisha matangazo ya moojakwamoja kupitia internet na vilevile ikawa imejumuisha matangazo yaliyokwisha rikodiwa mfano (MP3, CD, Tape). Ili Internet radio iweze kufanya kazi inahitaji mambo matatu muhimu,nayo ni:
- Chanzo (Source) cha taarifa zinazotaka kurushwa, kupitia njia hii mtiririko wa sauti unaanzia kwenye aidha microphone, CD Player, Play list kutoka kwenye computer, au vyanzo vyenginevyo. Kutakuwa na mixer itakayochanganya vyanzo vyote vya sauti na kuingiza kwenye computer kupitia waya. Ndani ya computer kunakuwa na software maalum itakayoweza kusafirisha mtiririko wa data kupitia intenet na kuzifikisha kwa server.
- Server baada ya kupokea mtiririko wa sauti kutoka kwa computer na kuzigawa kwa wasikilizaji na wakati mwengine kuzihifadhi. Server zinamilikiwa na aidha watu au makampuni maaalum na zinakuwa na uwezo mkubwa wa kuhifadhi na kugawanya mtiririko wa data kwa speed kubwa zaidi.
- Wasikilizaji ni mtu yeyote yule duniani mwenye uwezo kupata huduma ya Internet. Wataweza kusikia kila kitu kinachotakiwa kutoka. Msikilizaji atahitaji kufahamu sehemu ya kupata matangazo kupitia webpage.
Mchoro wa hapo juu unaonyesha mtiririkowa sauti kuaznia microphone pale mtangazaji anapoaanza kurusha sauti yake. Baadae inaingizwa kwenye computer ili iweze kuchanganwa na kusafirishwa kupitia internet. Inapofika kwenye server, mtiririko wa sauti unagawanya kwa kila computer itakayohitaji kusikiliza matangazo hayo. Hata inachukuliwa kama ndio msikilizaji.
3. CHANGAMOTO ZA INTERNET RADIO
Pamoja na faida zilizoelezwa kabla, internet radio inakabiliwa na changamoto ya uwezo wa huduma ya Internet pale idadi ya wasikilizaji inapokuwa kubwa. Hapa Zanzibar bado speed ya internet ni ndogo hivyo kuwa kikwazo kikubwa cha kufanikiwa kupata wasikilizaji wengi kwa wakati mmoja huku wakiridhika na ubora wa matangazo. Kitu cha muhimu ni kujuwa kiasi gani cha bandwidth kinahitajika pamoja na speed inahitajika kurushia matangazo.
Unapokuwa na Bandwidth ndogo unakuwa na uwezo wa wasikilizaji kidogo, halkadhalika unapokuwa na wasikilizajiwengi lazima bandwidth iwe kubwa.
Kadri ya speed inapokuwa kubwa ndio sauti inavyotaka vizuri, wakati speed ikiwa ndogo sauti inapungua ubora wake.
Kitaalam sauti ya kupitia kwenye simu inatumia speed ya 24kbps wakati speed ya kusikiliza CD ni 128kbps.
4. MAHITAJI (REQUIREMENTS)
4.1 Mipango ya station
Mipango imara ya kuanzisha station ikijumuisha lengo na madhumuni ya kuanzishwa kwake, aina ya matangazo, time ya urushaji vipindi, walengwa, gharama na mengineyo.
Kwa kuanzia unaweza kurusha matangazo ya music, baadae unaweza kujumisha matangazo mengine ya mazungumzo.
4.2 Studio
Kama zilivyo radio nyengine zote, internet radio inahitaji kuwa na studio za kurushia matangazo na utengenezaji vipindi (backup studio). Zote hizi ziwe zinakidhi viwango vya kuhifadhi sauti (Acoustic) na kukinga ghasia.
4.3 Vifaa vya studio
Uzuri wa internet radio ni uwepesi na urahisi wa vifaa vya kurushia matangazo ikiwa ni pamoja na microphones, mixer, computers, hard disk, digital voice recorders, internet, software, umeme wa uhakika
4.4 Internet Radio Host
Hii ni sehemu inapohifidhawa matangazo yote ili kumuwezesha kila msikilizaji kuvyonza kupitia kwao. Ingawa technolojia nyengine sio lazima kutumia host, lakini ni vyema kulingana na ubora wake. Huduma hii hutolewa na moja kati yaw makampuni yenye kutoa huduma za internet radio. Itakuwesha kuwa na wasikilizaji wengi zaidi kwa wakati mmoja kwa vile server zinakuwa na speed na bandwidth kubwa ya internet. Kunakuwa na malipo kama vile zinavyolipitia huduma nyengine za internet kupitia ISP, lakini malipo haya sio tu kwa huduma yaw kuhifadhiwa bali ni kwazile features zilizomo ndani yakekama vile statics, Royalty Reports, Listeners Information, AutoDJ and much more.
4.5 Website (webpage)
Hii nisehemu ambayo wasikilizaji wako wanaweza kukupata. Webpage inawakutanisha wasikilizaji wote wanaofuatalia matangazo yako. Kwenye webpage hakikisha kunatoa fursa kwa kujumuisha technology kama vile Embedded, Winamp, iTune, XMMS, Windows Media, Realplayer etc. Halkadhalika unaweza kuitumia webpage kwa kuweka utaratibu wa vipindi, play list, feedback page (contuct us, have a say) link za page au radio neyengine.
4.5 Utaalam
Pamoja na urahisi wake internet radio bado inahitaji ujuzi wa kuweza kuiset na kuanza kurusha matangazo. Halkadhalika itasaidia pale wasikilizaji watakapokuwa na tatizo kupata msaada kutoka kwa wataalam hawa. Utaalamu utawezesha radio kuendesha vipindi kupitia technolojia tofauti kama vile iTunes, Real Audio, Windows Media Player na nyenginezo, kwani sio wasikilizaji wote wanatumia computer za aina moja. Hapo utakuwa unawafikia wasikilizaji wengi zaidi.
5. ORODHA YA VIFAA NA GHARAMA ZAKE
Itakuwa vyema ikiwa intaernet radio itaanza hatua kwa hatua. Unaweza kupunguza gharama kubwa ukianza na software ya free kwa ajili ya kujitangaza na kuongeza ujuzi wa utumiaji na utangazaji.
MAHITAJI - GHARAMA
1. Desk Top Computer + Laptop - 1,530,000/-
2. Broadcasting Software (Sam Broadcaster) - Free
3. Internet Connection (Broadband) + Wireless - 70,000/-
4. Server (Transmitter) for Listener - Free
5. Two Microphones - 510,000/-
6. Mixer - 714,000/-
7. Digital Voice Recorder - 337,500/-
8. Headphone - 22,500/-
9. Microphone Cables - 112,500/-
10. Audio cable software for skype phone - Free
11. Microphone Stand - 902,000/-
11. Web page (site) - 1,000,000/-
JUMLA - 18,968,500/-
Toa Mchango wako kufanikisha mradi huu[/h]