Pendekezo la timu ya kampeni ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa marudio Sumbawanga

haaa haaa, CHADEMA IMEKAMILIKA KWA KILA PLAN HAPO JUU. MI NAZIKUBALI ZOTE. BUT KUTOKANA NA MAJUKUMU YA KITAIFA NA KICHAMA TUNDU LISSU TUMTOE NA KUWEKA JEMBE LINGINE. PIA MSIGWA LABDA AWE MRATIBU TU KWANI ANAUMWA MGUU ANAUGUZA
 
Tumbiri,
Wanawake ni jeshi kubwa sana na lenye nguvu, mbona mpango kazi wako kwenye hizo groups umewaacha? Je kura zetu huzitaki? CDM hakuna Wanawake wenye mashiko ktk hili? CCM huwa wanajali sana hili.
Anyway hayo ni maoni yangu.
Queen Esther
 
Mkuu TUMBIRI.
Wewe ni miongoni mwa watu nilio wajaza kwenye kapu langu la watu wanao itakia mema Tanzania yetu kwenye haya mapambano ya kumuweka pembeni mkoloni mweusi chini ya rubani.

Naomba nikuambie kuwa plans zako zote niza ushindi kwa jimbo la Sumbawanga, kwa heshima uliyonipa kwenye huu uzi mimi naomba nikuunge mkono kwenye plan C. Umeweka mengi ya msingi ambayo hayahitaji tena maelezo.
 
Nimekusoma mkuu TUMBIRI plan zote zimekaa mkao mzuri ila nashauri viongozi wakuu wa chama washiriki kampeni siku ya mwisho ya kufunga kampeni.Hii mara zote inakuwa na hamasa kubwa kwa wapiga kura na pia inatoa nafasi kwa viongozi wakuu kufanya majumuisho vyema na kuobndoa kasoro mbali mbali.

Wazee wa chama kama mzee Edwin Mtei hawana nafasi katika kampeni za wakati huu nafasi pekee waliyonayo ndani ya chama ni ushauri tu.Rejea ushauri mzuri wa Mzee Mtei alioutoa kwa Mheshimiwa Zitto hayo ndiyo majukumu yao haswaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom