Pendekezo kwa rais kama tunaogopa gharama arudishwe Lowasa

Nyakua nyakitita

Senior Member
Apr 14, 2014
193
195
Wabunge kama si kuogopa kuwa na lundo la mawaziri wakuu wengi wastaafu ,na kutotaka raisi Jk kuweka historian ya kuwa na Mawaziri wakuu wengi ,Nina hakika Linda angen'goka na kashfa ya Operation tokomeza.

Sasa nadhani muda umefika waziri MKUU mtoto Wa mkulima ameonekana waziwazi akitaka kuwalinda wezi wanaowaibia wakulima waTz.
Nashauri wabunge kama wanaona ni mzigo kwa Serikali basi watoe mapendekezo afukuzwe na ijulikane kafukuzwa na sio kastaafu.

Wabunge watende haki kama walivyotenda kwa Lowasa,kusiwe na bouble standard kwa makosa Yale Yale.Kuendelea kuwa naye ni ghali kuliko kumkosa. Pendekezo kwa raisi kama tunaogopa gharama arudishwe Lowasa au la sivyo sasa apatikane waziri MKUU kijana wapo km M.Nchemba,Makamba kiutendaji ni wazuri. Uzuri Wa kijana ni kuwa atamalizia mud a uliobakikuelekea uchaguzi na pia raisi ajaye asipompa uwazir MKUU atakuwa hazima hanapotokea maanguko kama hay a.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom