Pendekezo: Korosho ya daraja la 3 iliyorejeshwa iruhusiwe kuuzwa kwa mnunuzi yeyote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,532
141,334
Sijajua utaratibu ukoje ila natoa tu pendekezo kuwa ile korosho iliyorejeshwa kwa wakulima kwa kukosa sifa, basi wakulima hao waruhusiwe rasmi kuiuza kwa wanunuzi wowote ndani na nje ya nchi.

Heri nusu hasara japo inaumiza
Maendeleo hayana vyama!
 
Tuanzie hapa,kwa nini ilichukuliwa halafu inarejeshwa?Haikupimwa ni daraja gani wakati inachukiliwa?
Sijajua utaratibu ukoje ila natoa tu pendekezo kuwa ile korosho iliyorejeshwa kwa wakulima kwa kukosa sifa, basi wakulima hao waruhusiwe rasmi kuiuza kwa wanunuzi wowote ndani na nje ya nchi.

Heri nusu hasara japo inaumiza
Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom