Pendekezo kituo cha Runinga TBC1 kihamishiwe Lumbuma

MsakaGamba

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
392
0
Ni dhahiri sasa kuwa kituo cha Runinga cha TBC kinapaswa kuhamishimiwa Lumumba ili kikafanye kazi yake rasmi ya chama chake, haiwezekani kituo cha Taifa kinashindwa kufuatilia yanayoendelea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kinabaki kuonyesha filamu za kichina kana kwamba hakuna jambo kubwa la kitaifa linalo endelea kwenye mitaa, vijiji na vitongoji.

Kimekuwa kituo cha hovyo sana na ni aibu kuitwa kituo cha taifa kwa haya mauza uza yanayoendelea, ni afadhari kihamishiwe kwenye ofisi za makao makuu ya CCM tujue moja kuliko kufanywa wajinga kiasi hiki na hawa wezi wa Escrow.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom