Pendekezo: Ili kumuenzi Hayati Magufuli ianzishwe Magufuli Infrastructure Development Fund-MIDF

Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Hebu Mfuate alipo halafu utupe update ya Namna anavyoongoza Malaika kwanza
 
Yaani post za kisukuma kisukuma tu.
Yaani tuanzishie Shetani kumbukumbu?!
Wasukuma mbona wapumbavu hivyoo
 
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Kwanini sii uzalendo fund,keanu yenyewe imeshaanza kufanya kazi.
 
Msimsahau Kijanavwake aliekura raha zaidi wote duniani awemo kwenye huo mfuko Mskonda pia Sabaya asikose akitokamo jela......
 
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Huyo katili dikteta mkitaja jina lake wengine tunakosa amani
 
Salamu kwa wanaJF.

Nina pendekezo la namna ya kumuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli tukizingatia huduma aliyoitoa katika kuendeleza miundombinu nchini Tanzania.

Ni vyema ukaanzishwa mfuko wa uchangiaji fedha ambazo zitagharamia ujenzi wa miundombinu mbalimbali haswa ya Madarasa,Vituo vya Afya na barabara.

Wapenzi na wafuasi wa kazi na falsafa za Magufuli waweze kuchangia katika mfuko huo.

Michango ya kuonesha soliderity iende huku.

Fedha za mfuko huo zitumike kuboresha miundombinu ya huduma.

Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu.
Wakati tunaanzisha mfuko huo pia katika Kila mradi tuweke picha ya AKWILINA,BEN SANANE,AZORY GWANDA,SIMON KINGUYE ili tumuenzi ipasavyo.
 
Back
Top Bottom