Pendekezo: Ianzishwe kodi ya kizalendo kwa wamiliki wa silaha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,761
141,627
Au nasema uwongo ndugu zangu?

Ufanyike uhakiki wa wamiliki wa silaha kisha ianzishwe kodi ya kizalendo kwenye silaha kama gobole bunduki, sime na bastola

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Au nasema uwongo ndugu zangu?

Ufanyike uhakiki wa wamiliki wa silaha kisha ianzishwe kodi ya kizalendo kwenye silaha kama gobole bunduki, sime na bastola

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hao wanamiliki pesa hiyo bunduki kwasasa kibali chake kinakula 4m au 5m...bado hesabu uliyolipia bunduki kma ni glock,au bereta 4.5m utalipia jumla 10 au 9.5m
 
Mimi nataka tozo ya wabunge kila mbunge akatwe 5% km shukran ya wapiga kula uende kwenye Kodi ya kizalendo
 
Back
Top Bottom