Pendekezo: DSO awe ndio Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Wilaya badala ya DC!

Ulinzi na usalama ni kazi ya watu gani?
"Kamati za ulinzi na usalama ziongozwe na JWTZ na DSO awe katibu"

Kwenye nchi zinazoendeshwa kiraia, mwenye mamlaka ya mwisho eneo la kiutawala ni mwanasiasa otherwise iwe kama Burma
 
Ukiangalia majukumu yao ya jumla ya utendaji wao wa kila siku binafsi naona Afisa Usalama wa Wilaya anafit zaidi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Wilaya ukilinganisha na Mkuu wa Wilaya kama ilivyo sasa. Mkuu wa Wilaya yuko kisiasa zaidi na mambo ya usalama yamejikita zaidi kwenye weledi na NIDHAMU. Hayo ni maoni yangu, je wewe unasemaje?..........Karibu!
Baada ya kumrudisha Mo, akili zimekaa sawa! Nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom