Pendekezo: Dr. Ulimboka asitibiwe tena hapa Tanzania, atibiwe nje ya nchi

kutokana na habari tunazozipata inaonekana kwa namna moja au nyingine serikali imehusika na tukio hili.... walikuwa wanajua wameshamuua kumbe mzima kwa hiyo napendekeza huyo dr apelekwe kutibiwa nje ya nchi kwa usalama wake ...kuepusha madhara ya kupewa sumu na hawa mafia
Mambo ya ajabu sana inasikitisha na kushangaza watu wanaweza fanya upuuzi wa namna hii, pole zake huyo Dr.

Lakini asitibiwe na yeye aponye vile vile mwenyewe mbona kuna wagonjwa wengi tu hawapati matibabu kwa sababu ya wapuuzi kama yeye i am sorry for what happened to him. Lakini kama ana akili timamu hili janga lazima limfunze kuna walalahoi wanaowahitaji utaalamu wao despite the government irresponsible actions.

Atleast wao wamesomeshwa bure na kupata nafasi kwenye jamii lakini asilimia kubwa hawakupata bahati na wana hali mbaya kushinda wao, na yeye asitibiwe vile vile tu apone mwenyewe serikali wala isipoteze hela na huyu mtu ana roho mbaya.
 
Gerald Hando wa clouds nae itabidi ahojiwe jana kwenye kipindi chake cha powerbreakfast alimtolea maneno makali mno
 
Back
Top Bottom