Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Tataizo Waziri aliyepo pale hajiamini nduo wale aliosema Mpango kwamba Katibu anamdharau Waziri
 
Umemsakama as if wewe ndo unaongea na Rais. Lakini mwenye Common Sense anajua tu nia yako kutukana JPM nk. Mnakuwa watabiri wakati wenzenu lazima waulize kwanza mana kuna visheria. Akili ya Abbasi Ni kubwa sana kuliko wewe unayekurupuka. Subira mkuu. Geduld bring Rosen und In der Ruhe liegt die Kraft. Otherwise mind your own business. Ukitii sheria wala hutawahitaji hawa watu.
Eeenh Heeee!

Pole sana kwa kugusa panapouma.
Hicho kilugha hapo umemwekea nani, kama sio kuthibitisha u-'comical' ninaouandika hapa kumhusu huyo Abbas?

Kama ni "kusakama" unakokuandika hapa, mimi ninamsakama mtu anayeyasema ninayoyasikia akiyasema; bila kujali aliyemtuma akayaseme.

Kwa hiyo, kama unaona kwamba ninamsakama 'comical' Abbas, inakuwa hivyo kwa anayoyawasilisha na anavyoyawasilisha. Hicho ndio kipimo ninachokitumia.

Huyo jamaa yako ni 'comedian' hasa, in the true sense of the word!
 
Back
Top Bottom