Pendekezo: Bruno Fernandez apewe tuzo ya Mchezaji bora wa EPL msimu huu

Hahaha kwanini mkuu?
KDB anajua mpira jamani daah! Halafu haongei yule jamaa ye ni Kazi tu...Pep Guardiola alishapanga kikosi chake cha wachezaji aliowahi kuwafundisha...basi walijaa wachezaji wa Barcelona then Bayern..Man city alitajwa mmoja tu..na ni yeye huyu KDB pekee kwenye first eleven ya Pep Guardiola.
 
KDB anajua mpira jamani daah! Halafu haongei yule jamaa ye ni Kazi tu...Pep Guardiola alishapanga kikosi chake cha wachezaji aliowahi kuwafundisha...basi walijaa wachezaji wa Barcelona then Bayern..Man city alitajwa mmoja tu..na ni yeye huyu KDB pekee kwenye first eleven ya Pep Guardiola.

Kwani Bruno anaongea mkuu?
 
Yani ukiwa shabiki wa nyumbu unitetee Yani kujisifia kwa Sana Sasa mechi 10 2 ndo awe mchezaji Bora unaijua ligi kweli
 
Bruno Fernandez amewasili Man Utd januari hii, na mpaka sasa ameshawaacha wale aliowakuta mbali sana, impact yake katika EPL na Man Utd imekuwa kubwa sana yaani ya moto

Mpaka sasa Bruno ameshacheza Mechi 10 za EPL takwimu zake katika EPL ni kama ifuatavyo:
Mechi - 10
Magoli - 7
Assist - 6
Jumla amechangia upatikanaji wa magoli 13
Nafasi za magoli alizotengeneza - 28

Amekuwa mchezaji bora wa mechi karibu kila mechi alizocheza!

Mimi nikiwa kama shabiki kindakindaki wa Brighton Hove & Albion na EPL kwa ujumla sio vibaya Bruno Fernandez akapatiwa tuzo ya mchezaji bora wa EPL kwa mchango wake mkubwa aliouonyesha mpaka sasa! Mapovu ruksa...

View attachment 1502701
bado sana.
ManU na Fernandes wapo kwenye form kweli but mnakumbuka form ya Leicester na Vardy kabla ya Christmas msimu huu?

Leicester wakawa wanapigiwa chapuo kama title contender (kama wengine sasa hivi wanavyojidanganya eti ManU ipo kwenye level ya kupigania ubingwa EPL msimu ujao) na Vardy alikuwa akipigiwa chapuo kama mchezaji bora wa msimu huu.

angalia Leicester na Vardy wao wapo wapi leo? wakimaliza top 4 watakuwa na bahati sana.

consistency!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom