Pendekezo: Bruno Fernandez apewe tuzo ya Mchezaji bora wa EPL msimu huu

bado sana.
ManU na Fernandes wapo kwenye form kweli but mnakumbuka form ya Leicester na Vardy kabla ya Christmas msimu huu?

Leicester wakawa wanapigiwa chapuo kama title contender (kama wengine sasa hivi wanavyojidanganya eti ManU ipo kwenye level ya kupigania ubingwa EPL msimu ujao) na Vardy alikuwa akipigiwa chapuo kama mchezaji bora wa msimu huu.

angalia Leicester na Vardy wao wapo wapi leo? wakimaliza top 4 watakuwa na bahati sana.

consistency!!

Yaani unafananisha Leicester na Man Utd? We jamaa bure kabisaaa
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom