Pendekezo: Baada ya kipindi cha mpito mradi wa DART wakabidhiwe NSSF

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,082
164,403
Kufuatia ufanisi wa mradi wa daraja la Kigamboni, napendekeza NSSF wapewe mradi wa DART hapo kipindi cha mpito kitakapokamilika kwa mujibu wa mkataba.

Nawasilisha!
 
Interim period ikiisha iitishwe tender then mshindi ndiye apewe kuuendesha huo mradi na si vinginevyo.
Hao NSSF unaotaka wapewe nafasi ya upendeleo sina hamu nao toka nisikie habari zao za ufisadi katika manunuzi ya viwanja, upendeleo katika kuajiri na nk.
 
Back
Top Bottom