PENDEKEZO: 2015 CHADEMA wasimamishe mgombea mwanamke kiti cha urais!

Mkuu mbona unatuletea mambo ya ki 'CCM CCM'?
dah! mkuu hii ilikuwa ya kitambo sana, ikiwezekana nawaomba mods wai'delete kabisa, sijui nani huyo mwehu aliyeingia hadi chumbani kwangu?
 
Mi napendekeza wamsimamishe Jusephine Mushumbushi au Rose Kamili ili iwe rahisi kwa Katibu Mkuu wao kuwanadi

Unapossuport ujinga lazima pia nawe uwe mjinga huwezi ukakubaliana na ujinga ukiwa Brain Master.
 
alaaniwe huyo mwehu aliyeingia chumbani nakufufua huu uzi, ni moja ya thread zangu mbovu ever,
 
Party leaeders wa CDM bado wako kwenye kuanika tofauti zao ndani na nje ya chama
Wakimaliza hapo ndio wakubali kufanya kazi kama team moja, na kurudisha imani kwa wanachama
wamalize hapo, wapate mgombea mmoja atakae gombea uraisi kwa tiketi yao, na wamsupport wote
wamalize hapo waanze ku-convince vyama vingine vya upinzani kuhusu mgombea wao. muda uko wapi?

By then CCM imesha jipanga nyuma ya mtu mmoja na wote wanamsupport huyo huyo.
Kazi ya chama sio ku-entertain the public with your family affair sagga (soap opera)
Kazi ya chama ni ku-take power and run the country! Chadema bado sana (maybe 2020)

Kwa mtazamo wangu mimi Chadema wamesha shindwa uchaguzi wa 2015! Kubali kataa
Chama cha upinzani chenye kujiheshim kinge tumia muda huu kujenga strong party coalition
Then wakisha rule miaka tano au kumi, ndio wajipange kuleta mwanamke sasa
maana TZ nayo haijawa tayari kwa mgombea mwanamke
hii thread nilianzisha nilikuwa nimepiga kiroba, nilikuwa nawapima watu akili, loh! mwendawazimu amekuja kuifufudua chumbani...
 
jamani huku nikupotosha kweli maana Tanzania inahitaji rais bora ambaye ni makini si suala la kuwa wa kike au kiume,hatuna shida ya jinsi yake.
 
sitashangaa siku akija mwehu mmoja humu akatoa ushauri wa kumsimamisha Shoga kugombea
 
Zumbemkuu naona mama yako anafaa sana kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA tunaomba umpigie kampeni
 
Nimejiuliza sana, na kwakuwa binafsi sijamwona kati ya ninaowafahamu
Naomba km kuna anayedhan yupo atuambie ni nani..
 
Hakuna chama chochote nchini chenye Mwanamke anayeweza kuwa Mh.Rais.Ukidodosa wasifu wa kinamama viongozi utashikwa na kichaa


.
 
Yupo Josephine Mushumbusi
jose mushumbusi.jpg
 
Last edited by a moderator:
Josephin Wilbroad Slaa a.k.a Mamaa Juniour., Muke ya papaa Slaa, Rais ya Ufipa
 
CCM ndio wanao wale ambao wanaweza kununua Mboga kwa shs 10000000. Maana nchi hii inapenda Viongozi Mafisadi.
 
CCM ya huku kwetu wanawake wanaofikiriwa ni:Mh.Spika,Prof. Tiba,Dr. Asha Rose Migiro, GetrudeMongella.CCM ya kule kwingine ni yule aliyeiitwa Simba jike kwenye BMK na labda Asha Bakari.Swali wana wasifu wa kutosha na wanajuwa FITNAAA??
 
Back
Top Bottom