Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Tanzania mpya
Hii naona umetulia sana. Haina itikadi wala kuonyesha extremes. Its simple na watu wataweza sana kuielewa. Hata mtoto mdogo
Tanzania mpya
1.operation mpaka kieleweke
2.operation hatuchoki
3.operation vuguvugu la kaskazini
4.operation safisha ufisadi
5.operation freedom Tanzania
6.operation MSIMAMO WA ARUSHA.[/QUOTE]
Operation TanganyikaTanzania mpya
"safisha ufisadi kuleta uhuru wa kweli tanzania"
chapa viboko viongozi wote wastaafu wa CCM.
"safisha ufisadi kuleta uhuru wa kweli tanzania"
Tanzania mpya
nimeipenda hiyo maana kweli tumechakazwa na umaskini unaosababishwa kwa kiasi kikubwa na watu wachache walafi na wasio na huruma na wengineTanzania mpya