Penda familia yako;tunza familia yako;rudi kwenye familia yako;fanya magumu ya familia yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Penda familia yako;tunza familia yako;rudi kwenye familia yako;fanya magumu ya familia yako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 31, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Samehe mara saba sabini aijalishi mmetukana mmeishi miaka mingapi kwa style ya mgongo wa nne
  rekebisha sasa badilika sasa rudi kwenye mke wako wa ndoa..tunza familia yako ukuzaa mwenyewe
  jali familia yako ipende familia yako

  weewe ulie kwenye familia aijaanza kutoa funza omba mungu anasikia na kubadilisha sana maombi ya mwanaume unapoombwa utarejeshwa tena..laani roho ya kurudi nyuma kubadilika..kuna watu wanateseka leo sababu ya wanawake waliowalalia kwenye guest ya kunguni na kuwekewa mark kwenye shingo leo inawatesa sababu aawajui src...laani yote uliyoyafanya mungu anasikiliza tobaa yako rudi prayer ina change inageuza kila kitu..aijalishi ulikuwa kama mbwa kila ukiona skirt athuman ananyanyuka gafla wapo waliozaidi yako leo wanatangaza injili

  badilika penda familia yako rudi upya ubadili maisha yako...nawapenda wote nawaombea naamini mungu atasikia maombi yangu kwenu na wotee wamuwaminio.....kutoka nje ya ndoa na kwenda kuzaa watoto nje sio SOLN kuna watu wanatunza watoto si wao kwenye ndoa zao wengi tu tena wakiwa na watoto hao wanaringa angalia anafanana na mimi eehhh kataa hiyo ni moja ya laana za shetan usiporudi nyuma kama mwanamke ukabadilika utalea watoto yatima usiyojua bbaba zao mpaka mwisho.....

  Kuna wakati unatakiwa ujue jinsi ya kujitoa..baibo inasema usipokuwa makiini utaoa mke utokaanayeye
  so watchout tena watachukuliwa mikononi mwake...kulala azungumzii chumban kwako ..utaliona anachukua begi anasonga mbele hasira unajibu nenda nenda kumbe unaporwa mwombe mungu akurejeshe urudi

  mwanz 20:3 umekuwa mfu sababu ya huyu mtu
  ..kuna mtu umekuwa nae amekupa mark hata uoe utabaki kuwa na laana zake milele mpaka ujue jinsi ya kujitoa kwenye laana ..inafika wakati mwombe mungu akuonyeshe wapi ulikosea ..wapo watu wakiomba mungu anawaonyesha wanawake wazuri waliotembea nao those days unashangaa unakutanana nae baada ya miaka 10 si kwamba ufanye nae agano tena la hasha tubu mwambie mungu najivua laana zote nilizozichota kutoka kwa ahuyu binti kataa na kama unajua na nguo uliyovaa sikuhiyo choma moto..unaweza kutembea na wanwake wengi tu lakini mmoja akakufanya usipate kazi..ukaoa usizae..ukapata mchumba ukaachika kanisani..sio kwamba umeachwa noo...rudi nyuma fanya mapping wapi umekosea ....
  Wamauzi 14:1-13
   
 2. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nitaku PM. Nadhani ktk ile hesabu ya mia kasoro wachache,kuna maspirit niliyazoa.bo hayaendi kabisa. Pesa haikai mkononi. First lady ni ngumi kila siku. Nimemrudi muumba ila moto ndo unazidi. Nikitaka haki ya ndoa utadhani ninaomba zabuni ya kutengeneza noti!
  Ngoja niingie kwa maombi in Jesus name
   
 3. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hebu nipe maujuzi. Kuangalia zile picha za kikubwa zinaweza zikatranmit madude kwa maana ya mapepo?
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mimi huko nimejivua gamba. Kuna mapepo huko!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmmmmmh, sukari kilo 2400 mshahara wenyewe 160,000
  utakaaje na hela?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  karibu mpwa free of charge ila amini MUNGU ANAWEZA MI NILISHTUKA SANA HAYO MAPEMA MWEZI NA NUSU BAADA YA NDOA NILIKUWA KAMA MWENYEJI WA UWANJA WA RELI KULE WANAPOPIGANIA NGUMI...NIKASHTUKA NIKAJIRUDI HAKUNA KITU KIBAYA KUOGOPA KURUDI,,FIKIRIA UMEKOSEA WAPI IKIWEZEKANA TAJA MAJINA YAO UKISALI KATAA ROHO ZAO...KUNA WENGINE WAKATI UNAZINI NAO WALIKUWEKEA KITUKWENYE CHKULA ULIPOENDA CHOONI LEO KINAKUTESA SABABU ULIMWACHA
  KUWA MAKINI
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Yaani huna tofauti na mimi ilikuwa kuomba unyumba kama naomba zabuni ya nssf kujenga daraja la kigamboni
  kumbe yale maroho yanamaindi kwa nini niliwaacha yanantesa ptia mamadidy niliposhtuka nikaungama tukaungama wote kumbuka na mwanamke nae ameyapitia tena yake yawezekana ni makali zaidi wengine wanabeba waume za watu wana kifua na engine kama bedford so kuyatua yale lazima mgawane na wewe ...kazi ipo
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Kwa mawazo ya kawaida ya kibinadamu, swali hilo ni gumu, lakini kwa imani hata kama sukari ngekuwa ni Tshs 160,000/= na mshahara ukawani 160,000/= amini usimini hela ungekaa nayo na sukari ungenunua. Yeye (Mungu wa kweli ) hutoa majibu pale pasipowezekana. Ukisema No yeye anasema YES
   
 9. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  leo ni siku ya ushuhuda kweli kweli! sasa hivi nawatumia ujumbe wote nilopita nao wanifute kwenye phonebooks zao na wanisaau nami nafuta namba zao. ila karoho kanauma; kwani kuna mmoja tuliahidiana kutoachana milele - nimwambie ni sababu gani imenifanya nirudi nyuma?
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  unsjus unaweza futa namba zao wao wakakomaa nazo mwambie mungu azifutilie mbali zile simu zao walizonazo hata kama unajua jina la kibaka kariakoo mwambie MUNGU AKIMWONA ANNA ACHOMOKE KABISA MBALI NA ILE SIMU

  HAO WATAKAOKUULIZA KWA NINI UMEAMUA KUACHANA NAO WAAMBIE NIMERUDI NYUMA NATAKA KUSONGA MBELE NIMECHOKA NA MATESO KAMA UNAHIISI FURAHA ENDELEA NAO UKATAZWI KUMBUKA TU ZIMWI LIKUJUALO ALIKULI LIKA......
   
Loading...