johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,564
Hawa wanasiasa maarufu watatu ukiangalia historia zao za utotoni zinafanana wote wamepata malezi ya mzazi mmoja mmoja ( mama). Ila katika kuyafikia mafanikio ya kisiasa walipitia njia " ngumu" tofauti na hatimaye leo ni mawaziri, wabunge na makada maarufu wa chama tawala.
Katika pembe tatu ya nitoke vipi Dr Kigwangala aliielekea elimu, Kibajaji akakimbilia vibarua/umachinga na Le mutuz " alizamia" kwenda kufanya kibarua melini. So Pembetatu hii inakukumbusha kuwa uwapo katika mazingira yoyote ya kinyonge endapo utawekeza katika juhudi na kutokata tamaa basi mafanikio yanakusubiri. Jumamosi njema!