Pemba yavamiwa, Wapemba wasema amani itavunjika na wapo tayari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pemba yavamiwa, Wapemba wasema amani itavunjika na wapo tayari!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 12, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  CUF: Why more police for Pemba?

  Hamad Mohamed Rashid, Wawi MP, (CUF)

  Civic United Front (CUF) has opposed government plans to beef up the police force in Pemba, claiming that the move which was started in 2008/2009 was a plan to rig the general elections next year.

  They said it was odd for the government to consider increasing numbers in the police force for Pemba when the few currently on the island live in poor conditions.

  The legislators were speaking on the sidelines of the ongoing budget session in Dodoma.

  Hamad Mohamed Rashid, Wawi MP, (CUF), who is also leader of the opposition in parliament, told The Guardian on Sunday that, the decision was a political one, focusing on ensuring certain people win the coming general elections.

  “Any government bent on clinging to power will strive to increase the number of law enforcers on the pretext of improving security,” he said..

  According to the legislator, the government decision would bring fear to people in the isles, claiming that they have experienced police wrath before during such elections.

  Riziki Omar Juma (Special Seats-CUF) wondered, saying: “Do we really need that number of policemen during elections only. Crime is everywhere in the country yet the government is bold enough to tell us these officers are in readiness for elections.”

  She said the government should instead improve the living conditions of police officers and increase their allowances before recruiting any other more officers.

  Mkanyageni MP, Mohamed Juma Mnyaa (CUF) wondered why security was being beefed up in Pemba and not Tarime or Rorya districts in Mara Region where there are ethnic clashes.

  “The big number of heavily armed police in Pemba threatens people and makes the voters’ registration exercise a whole mess. Why deploy police in Pemba where there is peace, and not Rorya and Tarime,’’ he asked.

  Wete MP, Ali Said Salim (CUF) cautioned authorities that if voters’ registration, voting and elections results are messed up there would be a recurrence of bloodshed after next year’s elections as it happened in 2001.
  Meanwhile, Rashid further claimed that 2,100 people have been denied registration in the Permanent Voters’ Register (PVR).

  He said requiring people to provide Zanzibar living permits before getting access to PVR was unfair and asked the Union Government to intervene.
  Reacting to CUF claims, the government has maintained that the police force was being strengthened in order to maintain peace and order in Pemba.

  Tabling budget estimates for his ministry for 2009/10 mid this week, Minister for Home Affairs Lawrence Masha, said the officers will maintain peace during local governments and general elections next year.

  It was part of preparation on the part of the police to ensure the elections will be conducted peacefully, and according to Masha, the preparations would include the purchase of vehicles and other anti-riot devices.

  ``Starting 2008/09 the police force has started to implement the security strategy during local government election later this year and general election in 2010. The preparations aim to increase 7,000 police officers’’ he said.

  Masha told the House that 150 new police officers will be recruited this financial year and 36 officers will undergo various training courses. The minister also said the prison department will recruit 598 new warders during this financial year, stating that 1,081 prison officers were employed last financial year.

  He said during 2009/10, 22 vehicles will be bought. Two buses to carry inmates for prisons in Arusha and Coast regions would be bought as well as five pick-ups for the same regions. He asked the House to approve over Sh395.34bn.
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  sasa how is this BREAKING NEWS?
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Siamini kama Mwema naye anaingia katika huu mtego .Nashangaa sana CCM ambao wako madarakani tangia uhuru waan ogopa uchaguzi na kushindwa kukubali kwamba kuna watu hawaipendi CCM.Kwa taarifa ni kwamba polisi kuweka usalama ni jambo moja la kusemea lakini upande wa pili ndiyo watakuwa wapiga kura wa CCM.Nilidokeza majuzi kabla ya Masha naona sasa yale niliyo yasema yameanza.Miaka yote Chaguzi za CCM maeneo kadhaa wamepiga kura wao kukipa boost CCM.Ushahidi upo na utamwagwa hapa kweupeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kutokana na kupelekwa maelfu ya mapolisi pale ambapo hapana uvunjaji wa amani ,kumbuka waliouwa na kudhalilisha Wapemba katika Chaguzi kuu zilizopita ni hawa hawa mapolisi ,wao ndio waliouwa kuanzia pale msikitini Unguja hadi micheweni Pemba na halafu Mkapa akawapandisha vyeo.

  Sasa Uchaguzi bado mwaka mzima ,inakuwaje unapeleka malukuki hayo ya mapolisi leo,eti wanaenda kusimamia shughuli za uchaguzi ,uchaguzi upi huo ,au ndio mbinu za kuivamia Pemba na mapema ili kuwahi kulinda wanaowakataa watu kujiandikisha ,kama kikwete anakumbatia siasa za akina Mkapa basi anakaribishwa vizuri sana Pemba ,niliwahi kusema kuwa sasa ni zamu ya Kikwete kuuwa Wapemba ,mada ikaondolewa ,lakini harakati ndio hizo ,watu wanahoji mbona kule kwenye mikoa inayovamiwa na majambazi,kuna njia hazipitiki bila ya kuongozwa na mapolisi sasa ni miaka nenda miaka rudi hali hiyo haijafanikiwa kuondolewa,usalama wa mabasi kusafiri usiku ndani ya Tanzania ni sifuri ,hivi haya hawayaoni ?
  Mijipolisi yote yanini huko Pemba,hivi ndio watawakubalisha Wapemba kuichagua CCM kwa nguvu japo hawaitaki ? Ya guju ,ila CCM ikumbuke sio mapolisi wote wanaipenda CCM ,hilo waliweke kichwani mwao wasije wakakaa midomo wazi.

  Kikwete na usalama wake wa Taifa wanajua wazi kuwa WaPemba si legelege na wapo tayari kupoteza maisha kwa kulinda kura zao hadi hatua ya mwisho,hili limeshatokea katika uchaguzi uliopita mtu amekamata mtutu wa bunduki aliyokuwa nayo polisi na kujielekezea kifuani na kumwambia polisi afyatue risasi lakini haondoki mtu mpaka kieleweke ,msifanye mchezo Pemba ina watu wa aina nyengine kabisa kabisa.

  Sasa matayarisho ya uuwaji ndio yameanza ,labda CCM na serikali yake wanatamaa kuwa wananchi wakiona hivi wataogopa na mapema.

  Pemba hakuna wezi wa ujambazi wa kutisha wala mapigano ya koo ni nchi imetulia kikwelikweli ,sasa kuwasogezea mapolisi hawa ni kutafuta mauaji mengine ,ikiwa CCM imeanza kujitayarisha na mapema basi watambue kuwa na wenyeji nao watajitayarisha na mapema.
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa serikali ya Tanzania sasa wako chakari bin chakari kwa ulevi wa madaraka... hawajui tena ni kwa nini wamewekwa hapo... hawajui tena ni nini wanatakiwa kufanya ili kuwakomboa maelfu ya raia waliokwama kwenye dimbwi la umaskini wanajifikiria wao tu. Wananchi wanaponyanyaswa na na majambazi polisi polisi hawatoshi lakini inapofikia suala la kubakia madarakani kwa nguvu polisi wanapatikana. Hizi ni dalili za mwish wa CCM.
   
 6. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli. EEeh Mola wanasuru ndugu zangu pale KONDE na Pemba kijumla kwa madhila yanayopangwa.

  EEeh Mola kinusuru kisiwa cha Pemba na Ubakaji unaofanywa na utakaofanywa na majeshi hayo.

  Kinusuru kisiwa hicho na UKIMWI.
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sio dalili za mwisho bali ni dalili za wazi kabisa za Udikteta kushika kasi mpya ,huu ni udikteta hauna jina jingine huyo Waziri Masha ameulizwa suali lililo wazi kabisa amekwenda kujibu utumbo wala hauhusiani kabisa ,maana ukilipima suali na jawabu alilolitoa basi haliendani nalo.

  ....the government has maintained that the police force was being strengthened in order to maintain peace and order in Pemba.

  Sasa hapo niambieni jawabu lipo wapi ? Nani au ni gazeti gani limeandika kuwa Pemba kuna fujo ,magazeti na vyombo vya habari kila siku vinaripoti mauaji mapigano utekwaji nyara upande wa Tanganyika ,au wamekusudia fujo za watu kulinda kura zao sasa ndio wanaenda kuwadhibiti wasiweze kutetea haki yao ? Au Serikali ya Kikwete wameambiwa kama wanataka mafuta wahakikishe kuwa wizi wa kura Pemba unafanikiwa ? Ndio mikakati imeanza ?
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Jul 12, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Umeikuza habari imeonekana kama kuna majeshi ya kigeni kumbe watu wako NCHINI KWAO, Sehemu ya Jamhuri ya Muungano, kuwalinda watu wao dhidi ya wanaotake advantage na mambo ya uchaguzi kama akina Shariff Hamad ambaye huwa anaanzisha fujo halafu anasafiri kwenda majuu akiacha wananchi aliowachochea kwenye shida.
   
 9. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Usingizi uliniisha man. Mie najua labda nchi yavamiwa na majeshi ya kigeni kumbe ni polisi kuwalinda raia.
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Siyo Pemba peke yake. Hukumsikia Masha akisema juzi wanaagiza silaha zaidi na nyezo kwa jeshi la polisi kukabiliana na uchaguzi ujao? Tunavamiwa sote.
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Ww usilete mchezo wako hapa watu wamepoteza roho zao kule, mpaka leo kuna vizuka, mayatima na vilema hawajafanywa lolote na serikali, mpaka leo kuna watu wametiwa umasikini kwa kuharibiwa mali zao makusudi, mpaka leo watu wapo magerezani kwa kesi za kubambikiwa. Wafanyaji wa hayo wapo wanavyeo vikubwa na mpangaji wa mipango hiyo anatetewa bungeni kua ni mtu muwazi, muadilifu na mchamungu!!
   
 12. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haishangazi kuona HENCHMANS wanandaliwa kufanya udhalim.inanikumbusha moja kati ya Hotuba za M,luther king aliyotowa wakati wa kupigania haki zao, wengi kati yao waliuwawa kama walivyo uwawa wazanzibar. (Time will tell)

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=TAYITODNvlM]YouTube - How Long? Not Long![/ame]
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  labda tujiandae kutawaliwa kijeshi kama Pinda alivyodokeza... kwa kuanza wanaanzia tarime na Rorya, sasa imeingizwa Pemba.... where is next????
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hivi watu wanaposema Pemba wanataka kuwa na utawala wao unafikiria ni machezo wa kuigiza, hizi harakati zinazofanywa na hii serikali ya CCM zinakuwa noted ,na kwa taarifa yako tu ,habari za kupelekwa majeshi hayo ya polisi zimeshafika kunakohusika ,sasa kama CCM na serikali yao wana akili nawapa ushauri wa bure ,waondoe jeshi hilo haraka na waweke kisingizio chochote kile japo waite zoezi la kawaida na huwa linafanywa kila inapohitajika.

  Wapemba husika wamesharipoti kuwa ni uvamizi kama mnavyoelewa wana madai yao UN na yanafanyiwa kazi,sasa ni mti na macho inawezekana hayo majeshi yakatekenywa kidogo tu ,na wao kwa ujinga wao wakaingia kichwa kichwa kama majibwa ya kusakia ,kwa kujipendekeza kwa CCM ,hapo hakuna kulinda nchi wala riots ni mipango na kama tunavyoelewa kuwa CCM watawashakiza hao kufanya ya kufanya kama walivyofanya siku zilizopita na hapo ndio utakuwa mwisho wa Pemba kuwa sehemu ya Tanzania.
   
 15. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Huko Tarime na Ronya hao mapolisi hawawezi kufanya kama wanayoyafanya Pemba kwani damu nzito kuliko maji na ,huko hao waTarime na Waronya wana silaha au wakizihitaji kupambana na mapolisi hao hawapati shida sana ,usifikiri kuwa mapolisi hawana roho au hawajui utamu wa kuishi na wao siku watakayosikia risasi inatoka upande wa pili ndipo watakapojua kuwa mkonge si nyasi.
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Jul 12, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sio mchezo bwana hakuna aliyeivamia Pemba watu wako kazini. Wakileta fujo kama wanavyotaka kufanya sasa hivi? Ni kurudisha amani mahali pake! Viongozi wa Pemba ndio wanaochochea vurugu. Dont trouble the trouble before trouble troubles you! Huoni hata title ya thread hii ni muendelezo wa uchochezi? Acheni hizo bwana!
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Jul 12, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwa Pemba hakuna dogo! Ingekuwa kama Rorya ambapo Pinda alipropose kupeleka jeshi, ingekuwaje?
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  Jul 12, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo kuna mpango wa kujitenga kwa kisiwa cha Pemba? Ndio maana kuna visingizio vya uvamizi!
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jul 12, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Harufu ya ubaguzi!
   
 20. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna yoyote anayeweza kupigana na jeshi la wakurya toka zamani (JWTZ). Wapemba hapa wanacheza tu.
   
Loading...