Pemba walilia Loliondo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Pemba walilia
Wakazi wa Pemba, wamemwomba Mchungaji Masapila kuwasogezea huduma ya tiba ya magonjwa sugu ili nao wanufaike nayo.Baadhi ya wakazi hao waliofika kwenye ofisi za gazeti hili zilizopo katika Jengo la Bandari, Tanga walisema wamekuwa wakifuatilia kwa karibu tiba hiyo kupitia vyombo vya habari na kugundua kuwa kimsingi ina ukweli.

Mmoja wa wakazi hao, Shaame Ussi alisema baada ya kusikia kuwa dawa hiyo inaponyesha na kuwaona hata viongozi wa Serikali wanainywa, ni vyema sasa huduma hiyo ikawasogelea watu ili wanufaike nayo.Ussi alisema ingekuwa vyema kama mchungaji huyo angeipeleka huduma hiyo mkoani Tanga ili kuwawezesha wakazi wa Pemba kuipata.

Habari hii imeandikwa na Salim Mohamed, Neville Meena na Mussa Juma, Samunge

Babu Loliondo atoa wasia kwa wagonjwa
 
aanze kutibu na mabusha!

Siye wapembwa twabaguliwa na Waunguja, na wa Tanzania Bara, sasa twabaguliwa hata na mchungaji..
Hii ndiyo picha halisi juu ya maamuzi juu ya MUUNGANO yanavyofikiwaga! Kama watu wametoka Kenya, Uganda, Congo, Zambia, Kagera, Mtwara, Songea, hata mabara mengine (kama documentary ya Nation iliyoonyesha), Pemba wanataka wapelekewe kwao! Kazi kweli kweli
 
angalau wapemba wao wanataka kutibu mabusha wamebahatika lakin wa kanda ya kaskazn na kati yake,ikiwemo upande wamagharbi wanawania kwsababu mbili kuu ukimwi na ukanda wajesh pamoja na ,mikoa ya pwani ni busha na kisukar na uchache wa ukimwi.sijiu nani zaidi
 
Hivi Mpemba mmoja au wawili watatu waikiongea ndio kauli ya wapemba wote?
 
Back
Top Bottom