Zanzibar 2020 Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

Binafsi napenda kuhubiri amani na kustahamili. Lakini niseme ukweli wazanzibari wameshastahamili vya kutosha. Hili halitaki tochi, nadhani jeshi la polisi na akina Shein na Magufuli watalifahamu na kuacha haki itendeke. Alieshinda aachiwe aongoze na tusonge mbele.

Muungano kama wazanzibari hawataki si lazima, kiilivyo maisha yote ya duniani tumekuwa nao kwa kipindi kifupi ukilinganisha na kipindi haukuwepo. Nadhani Nyerere pia alisema haya, kama hautakiwi basi hakuna haja ya kupigana mabomu.
 
Back
Top Bottom