Pemba ni sehemu ya Tanzania, kikinuka huko kimenuka Tanzania nzima

Akienda kwenye maandamano au kulianzisha dude amuache shemeji yetu nyumbani walau tuje tufaidi kidogo kuliko kupata hasara maana lazima akafie huko na ukoo wake utakuwa umesimama hvyo tutamsaidia kuuongeza ukoo wake.baba nenda baba sisi tupo nyuma ya mkeo
Unajua kama huyo shemegy unae mkusudia ni Dada ake baba ako kwahiyo ww itakua ni shangazi yako kwahiyo uko tayari kutembea na shangazi yako kama mzee wa jalalani alivo shikiliwa akili lumumba
 
Baadaya ya kukata vichwa watu na bado mkatawaliwa kama mwali.......nawasihii tulieni maana hasa hivi hata mkitaka kunya au kula mavi bado mtatawaliwa tu.......tena watu wanao kuja uko sasa hivi wanakuja na mafuta ya minara au vasseline......... shughuli mtaiona
Wanakaribishwa waache waje, hizi sio zama za mkapa watu wamejipanga.
 
Waliotenda ujinga huo wapo?? Baada ya hapo walikufa wangapi? Usiongee ujinga ukiwa umejificha nyuma ya keyboard!
Hio ilikuwa ni kulipiza kisasi mkuu sio kama walianza. Na yuko mmoja baada ya kuuwa pemba akasafirishwa kupelekwa Tanganyika ili akapewe cheo. Lakini hakufika alimalizwa mjini Unguja. Acheni kuchafua amani kwa makufusudi hakuna anaependa vurugu lakini ENOUGH is ENOUGH.
 
Hio ilikuwa ni kulipiza kisasi mkuu sio kama walianza. Na yuko mmoja baada ya kuuwa pemba akasafirishwa kupelekwa Tanganyika ili akapewe cheo. Lakini hakufika alimalizwa mjini Unguja. Acheni kuchafua amani kwa makufusudi hakuna anaependa vurugu lakini ENOUGH is ENOUGH.
Sasa kama huwezi kujaza Fomu unataka nani akusaidie?
 
INAONEKANA MNA SHIDA YA KUKIMBILIA SHIMONI MOMBASA TENA, WAKATI SEIF AKIKIMBILIA OMAN KULA TENDE.
 
Tatizo kwani ni nini?? Kama tatizo ni kushindwa kujaza fomu basi wa kulaumiwa ni ACT wenyewe kwanini hawakuwafundisha jinsi ya ujazaji wa fomu watu wao??
Kwani kujaza fomu ya ubunge ni mtihani! Jaza inavyotakiwa kama kukatwa tume itakukata tu na ikikusamehe huikwepi kwenye kutangazwa mshindi.
 
Wanafikiri kikinuka watakimbilia ulaya tena kama kipindi cha mkapa
Kuwa na rafiki au jirani wa aina yako ni sawa na kuishi na "nchawi mla nyama za watu"
Kwa hiyo mmeminya haki ili muuwe tena kama wakati wa Mkapa?
 
Hamna wa kumtisha na maneno yenu.. Mlishindwa 2015 na ushindi ulikuwa wa cuf. Je Leo mtaweza kipi. Acheni vitisho wafuasi.
 
Back
Top Bottom