Pemba ni sehemu ya Tanzania, kikinuka huko kimenuka Tanzania nzima

Halafu kitu ambacho wasichokijua sehemu nyingi tu duniani kikishanuka Jeshi huwa haliwi pamoja na watawala. Wenye shobo na watawala ni askari polisi. Mifano hii imetokea nchi nyingi hata barani Afrika.
Haya tumekusikia mkuu!
 
Mosi: Atakaye vunja amani na usalama atachukuliwa hatua iwe Pemba, iwe wapi

Pili: Muuche kujidanganya kuwa mnaogopwa

Tatu: Muache kujifariji kuwa mtaungwa mkono
Sidhani kama una akili timamu kwa kushabikia umwagaji damu. Kweli huoni dhuluma inayofanywa na Tume ya uchaguzi waziwazi?
 
Tatizo kwani ni nini?? Kama tatizo ni kushindwa kujaza fomu basi wa kulaumiwa ni ACT wenyewe kwanini hawakuwafundisha jinsi ya ujazaji wa fomu watu wao??

Hivi hizo fomu ina kipi cha ajabu mpka washindwe kujaza? Wameanza kujaza mwaka huu?
 
Pemba hatuna haja ya kuungwa mkono, tupo vizuri na tutapambana. Ikiwa 2001 kuna baadhi ya askari polisi walikatwa vichwa (kama ulikuw hujui hii fuatilia undani wake) usitegemee miaka hii ambapo muamko umezidi mtatazamwa tu, hawatakufa au kujeruhiwa raia peke yao na upande wa pili utaface same consequences.
Waliotenda ujinga huo wapo?? Baada ya hapo walikufa wangapi? Usiongee ujinga ukiwa umejificha nyuma ya keyboard!
 
Tatizo kwani ni nini?? Kama tatizo ni kushindwa kujaza fomu basi wa kulaumiwa ni ACT wenyewe kwanini hawakuwafundisha jinsi ya ujazaji wa fomu watu wao??
Umemsikiliza mwanasheria wa ACT alichokisema kuhusu sababu zilizotumika kuenguliwa wagombea wao? Halafu hao ACT wana ugeni gani wa kutojua kujaza fomu? Si ni watu walewale wa Maalim kaondoka nao kutoka CUF? Ugeni uko wapi katika hili?

Sehemu nyengine zimeghushiwa mpaka barua za kuekewa pingamizi kwa ACT. Wagombea wenza wa vyama vingine wakapinga hizo barua zilizoandikwa kwa majina yao.

Unalipi la kuandika zaidi ya kukumbatia uchama?
 
Hivi hizo fomu ina kipi cha ajabu mpka washindwe kujaza? Wameanza kujaza mwaka huu?
Angalia huyu hapa chini alichojaza!! Ndiyo utajua kuwa kuna shida sehemu lakini pia jua kuna wakati mwingine wagombea wanauza nafasi wakijua hawatashinda.
IMG-20200829-WA0038.jpg
 
Umemsikiliza mwanasheria wa ACT alichokisema kuhusu sababu zilizotumika kuenguliwa wagombea wao? Halafu hao ACT wana ugeni gani wa kutojua kujaza fomu? Si ni watu walewale wa Maalim kaondoka nao kutoka CUF? Ugeni uko wapi katika hili?

Sehemu nyengine zimeghushiwa mpaka barua za kuekewa pingamizi kwa ACT. Wagombea wenza wa vyama vingine wakapinga hizo barua zilizoandikwa kwa majina yao.

Unalipi la kuandika zaidi ya kukumbatia uchama?
Mfano huu hapa! Najua utakataa pia.
IMG-20200829-WA0038.jpg
 
Wewe usiye muoga mbona unatumia ID fake?
Ni ufupisho wa majina ya babu zangu hakuna ID fake hapo!

Msichokijua ni kwamba huko Pemba kuna watu wanapenda kufa kama ninyi mnavyopenda kuishi.

Hakuna ambaye anayependa vurugu. Si kitu kizuri na si vizuri kuyaleta majaribu yake. Inapasa wapenda amani wa hii nchi kuzikemea tabia na mienendo ya watu wanotaka kuvuruga amani ya nchi.

Mumsihi bosi wenu aache mambo ya kiuchwara. Mlichokifanya wenyewe uhalisiya mnakijua kuhusu Pemba halafu mnakuja kushupaza shingo huku JF.
 
Kama hawajui kujaza fomu acha wakatwe sasa mgombea amejaza amezaliwa tarehe ya mwaka 2020 huyo kweli anasitahili kugombea maana yake hajatimiza miaka 18! Hivyo automatic hastahiri kugombea.
 
Haya tumekusikia mkuu!
Jifunzeni kutokana na history!

Halafu kuwakandamiza raia wako hivi unapata raha gani? Hauoni raha raia wako wakiishi maisha mazuri na ya amani?! Kwani tatizo liko wapi watu wakiishi hivyo?
 
Kama hawajui kujaza fomu acha wakatwe sasa mgombea amejaza amezaliwa tarehe ya mwaka 2020 huyo kweli anasitahili kugombea maana yake hajatimiza miaka 18! Hivyo automatic hastahiri kugombea.
Hayo mafomu CCM mnayo mengi tu kama toilet paper! Mnatumia myatakavyo! Mnafanya ghushi zenu halafu mnatupia kwenye mitandao.

Kama mtu anajua kusoma, kuandika na kujielezea kwa maandishi iwezekanaje akosee mwaka wa kuzaliwa halafu kwa tarakimu?! Hii haipo!
 
Kama siasa za 2020 zimekushinda jipange awamu ijayo,kushindwa kwako haimaanishi ndo iwe mwisho hata kwa wenye uwezo. Jipangeni 2025 itakuja tu.

MAGUFULI4LIFE.
 
Sasa hilo ni kosa kumuengua mgombea? Correction fluid zipo kwa ajiri ya nini?
Hizi sheria za tume zitazamwe upya!
Kisheria ushahidi wa document unatakiwa ujieleze wenyewe na ukishafikishwa mbele ya tume hakuna tena kubadirishwa. Tume inafanyakazi kama Mahakama. Ulishaona mahakamani unapeleka ushahidi wako kama unamakosa unaruhusiwa kuubadirisha hapo mahakamani?
 
Hayo mafomu CCM mnayo mengi tu kama toilet paper! Mnatumia myatakavyo! Mnafanya ghushi zenu halafu mnatupia kwenye mitandao.

Kama mtu anajua kusoma, kuandika na kujielezea kwa maandishi iwezekanaje akosee mwaka wa kuzaliwa halafu kwa tarakimu?! Hii haipo!
Nilijua lazima utakataa!
 
Back
Top Bottom