Pemba ni Noma! Soma hapa kabla hujaenda na mbuzi/kiburudisho chako Pemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pemba ni Noma! Soma hapa kabla hujaenda na mbuzi/kiburudisho chako Pemba

Discussion in 'Jamii Photos' started by CPU, Jan 24, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  tttttt.jpg
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Ila hawajakataza mwanaume kuingia na mwanaume mwenziye.......hili laonekan halikiuki maadili
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mkwala tu huo,usiku watu wanaingia kama kawaida
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ah ah ah ah duh kazi kweli kweli
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duu, hii kali sasa hivyo vielelezo kuwa mmefunga ndoa ni vipi????
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii safi iwapo YAZINGATIWA KIKAMILIFU.
  ila vyeti vya ndoa pia vyaweza kufojiwa kama kawaida ya mambo ya mjini.
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha mashoga au?? Kama ni mashoga USITHUBUTU
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu unahitaji cheti cha ndoa tena chenye picha zenu hahahah
   
 9. CPU

  CPU JF Gold Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwisho kufanya booking ni saa 12 jioni
   
 10. CPU

  CPU JF Gold Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kazi unayo! Utafoji vingapi?? Yaani kila binti awe na cheti cha ndoa na wewe, si utadakwa kiurahisi tu?? Labda ukajaribu hotel za Unguja au Dar
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kwani vyeti vina picha?
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Haswa....
   
 13. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ni cheti cha ndoa mkuu...cha kushangaza ni kwamba vile vyeti haviwekwi picha za wanaondoa...vipi kama nikitaka kuchakachua nikakwapua vyeti home nikatinga navyo ili hali sio wanandoa halisi? nawakilisha tu mkuu

   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hahahaha havina picha, lakin hapa itabidi kila mmoja wenu aambatanishe na kadi ya kupigia kura
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Utaiba cha mshikaji wako au?
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Bado sio kontroo...tunafoji cheti Kadi za kupiga kura za halali
   
 17. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  amen
   
 18. CPU

  CPU JF Gold Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huwezi kuhangaika kuingia sehemu kama hii wakat kuna sehemu kibao ambazo ni CONTROL FREE, huwezi kujihangaisha kufoji cheti ili uje hapa
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kwa misingi hiyo basi huo mkwara hauna maana kama unazungukika......
   
 20. T

  Tall JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Short time ndio usiulize kabisa.
   
Loading...