Pemba: Mzee miaka 70 ashikiliwa na Polisi kwa kumlawiti kijana miaka 14




Jeshi la polisi mkoa wa kaskazini Pemba limemshikilia mzee(70) anaejuilikana kwa jina la Sanani Seif Juma mkaazi wa Chamboni wilaya ya Micheweni kwa tuhma ya kumlawiti mtoto wa miaka 14.


Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa kaskazini Pemba Juma Sadi Khamis amesema tukio hilo limetokea usiku wa tarehe 6 ya mwezi huu.

Mzee aliefanya kitendo hicho amekiri kuwa na mazoea ya kumfanyia mara mara mtoto huyo.

Kwa upande wake daktari dhamana kutoka hospitali ya wilaya ya Micheweni, Zuberi Omar Zubeir amesema vipimo vinaonesha kuwa tayari mtoto huyo ameshafanyiwa kitendo hicho.

Nae mkuu wa wilaya ya micheweni Mh Mgeni Khatib Yahya amevitaka vyombo vya sheria kuchukua hatua kali mara moja ili kukomesha vitendo hivyo.

Ngoja tusubiri tuone
 
14 years ni umri wa Mtoto aliyemaliza STD 7, how comes analawitiwa na mbabu? Au naye anapenda kuliwa?
Walianza kitambo inaonekana...tokea akiwa na miaka minne Labda,

ILA HIVYO VISIWA, MAMBO HAYO YA KULAWITIANA, NAAMBIWA HAKUNA MTU ANAYEMUAMINI MWENZIYE.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Asking for a friend.
Hivi daktari anajuaje kwamba bwana ¶ ameliwa?
Wanatumia kifaa gani?
 
Back
Top Bottom