Naona wanajeshi! nchi za kiafrika bana wanajeshi wa nini uraiani? polisi si wapo! au ndo matumizi mabaya ya vyombo vya dola mambo ya raia yasimamiwe na wizara ya usalama wa raia wanajeshi walinde mipaka na kupambana na ugaidi.
Uwezo wa kufikiri wa ccm unaishia hapo yaan wapigwe ili wajihakikishie wanabaki madarakani, amani ya nchi haiwez kudumishwa kwa vifaru na mabomu.. Mazungumzo yanahitajika ktk mgogoro wa Zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.