PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,855
930
PEMBA ZANZIBAR

Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.

Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua Ndugu Shekha Fakhi Mpemba.

Alisema ili kutatua changamoto mbalimbali katika jimbo hilo, anahitajika kiongozi mahiri kama Ndugu Shekha Fakhi Mpemba, hivyo wana Konde wasipoteze nafasi hiyo wamchague ili ashirikiane nao kuleta maendeleo.

Alisema kwakua Ndugu Shekha Fakhi Mpemba amesoma kada ya elimu lazima atakwenda kukwamua watoto wetu kwenye swala zima la elimu, na atashirikiana na Serikali ya CCM katika kusimamia elimu Bila malipo.

Ndugu Shekha Fakhi Mpemba Atashirikiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Mheshimiwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Dr Hussein Ally Mwinyi kuleta Maendeleo Kwa wananchi wa Konde.

Mwisho Katibu Mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Laban Kihongosi amesisitiza Kudumisha Umoja na mshikamano pamoja na kulinda Amani ya Taifa.

photo_2021-07-16_17-49-42.jpg
 
Ni nadra Sana kumkuta mwanaCCM mwenye akili timamu

Lakn ndio hvyo wameikwapua nchi kimabavu wanaaamua wanavyotaka wao

,,,,Tozo....tozo....tozo....tozo....zinakera....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Biashara kati ya Tanzania na Burundi zina thamani ya Tsh 200 bilioni.

Kodi ya mshikamano inatarajiwa kuzalisha Tsh 6.6 trilioni ambapo ni zaidi ya 18% ya mapato ya bajeti ya Tz kwa mwaka 2021/22.

Bora tukae hapa hapa tuhamadishe kodi ya mshikamano.
 
Back
Top Bottom