Pele, Ausebio n Maradona nani mkali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pele, Ausebio n Maradona nani mkali?

Discussion in 'Sports' started by Mbonea, Sep 3, 2009.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau, kila kukicha kumekuwa na habari za majibizano kati ya Pele na Maradona huku kila mmoja akidai ni mkali. Je, ni nani mkali kat yao?.

  Mnamkumbuka Ausebio?

  Eusebio  [​IMG][​IMG]Click on any image for a bigger version

  Full name: Eusebio da Silva Ferreira
  Born: 25 January 1942 (Lourenco Marques)
  Clubs: 1958-1961 Sporting Club of LourencoMarques
  1961-1975 Benfica
  International debut: 1961 v Luxembourg Honours: (All with Benfica or Portugal)
  1961 Portuguese Championship
  World Club Cup runner-up
  1962 European Cup
  Portuguese Cup
  World Club Cup runner-up
  1963 Portuguese Championship
  European Cup runner-up
  1964 Portuguese Championship and Cup
  1965 Portuguese Championship
  European Cup runner-up
  European Footballer of the Year
  1966 World Cup 3rd place
  1967 Portuguese Championship
  1968 Portuguese Championship
  1969 Portuguese Championship and Cup
  1970 Portuguese Cup
  1971 Portuguese Championship
  1972 Portuguese Championship and Cup
  1973 Portuguese Championship
  1974 Portuguese Championship

  [​IMG][​IMG]

  • The legendary Eusebio is Portugal's all-time leading goal scorer with 41goals.
  • "The Black Panther", or "The Black Pearl", as he was known, was top scorerin the 1966 World Cup, with nine goals to his name. These includedfour in one match against North Korea. He also scored in the semi-finalagainst England but left the pitch in tears when Portugal lost.
  • As a young player, Eusebio was the subject of a fierce contract battlebetween two Portuguese clubs. He made his debut with Mozambique'sLourenco Marques, a nursery club of Sporting Lisbon, but was "kidnapped"by Benfica on his arrival to Lisbon and hidden away in an Algarve fishingvillage until the arguments between the clubs died down.
  • Eusebio was a member of the first side to beat legendary Real Madrid ina European Cup final. In 1962 Benfica trounced the Spanish aristocratsand 5-times winners of the trophy 5-3 in the final. Eusebio scoredtwice.
  • Eusebio made such an impression on the British Public in the 1966 WorldCup that his figure was immediately added to Madame Tussaud's waxwork collection.
  • Bela Guttmann, Benfica's coach, first heard of Eusebio in a haridresser'ssalon in Lisbon. In the chair next to him was Sao Paolo's coach,who were touring Portugal. He told Guttmann about a brilliant footballerhe had seen in Portuguese East Africa. Guttmann flew out and withina week and bought Eusebio.
  • In his 15 years at Benfica there are only two when Eusebio didn't win amajor honour - 1966 and 1975 (his last year at the club).
  • In 1963, Eusebio was selected for the Rest of the World side to play Englandat Wembley as part of the F.A.'s Centenary celebrations.
  • From 1964 to 1968, and again in 1973, Eusebio was Portugal's top Leaguescorer. On the last two occasions he was top scorer in the wholeof Europe as well. His total of 46 goals in European competitionis second only to the 49 of Real Madrid's Alfredo Di Stefano.
  [​IMG]
  </SPAN>[​IMG] [​IMG]
  sasa nani mkali mpaka hapo? Kumbukeni Ausebio alikuwa mkali miaka ya 60.
   
 2. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya hapo tutajua nani anastahili kuwa mkali wa soka duniani.
   
 3. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bado sijapata jibu wadau.
   
 4. Companero

  Companero Platinum Member

  #4
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,863
  Likes Received: 14,477
  Trophy Points: 280
  Bila hata kuulizauliza. Ni Diego Armando Maradona
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,863
  Likes Received: 14,477
  Trophy Points: 280
  Ni kama kuuliza nani mkali kati ya Simba, Yanga na Prisons wakati unajua fika kuwa SIMBA ni mkali wao.
   
 7. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ila umeshasikia makali ya Ausebio????
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,863
  Likes Received: 14,477
  Trophy Points: 280
  Nimeyasikia mkuu, lakini kiukweli Maradona hakamatiki. Ni mkali ile mbaya!
   
 9. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa jamani ila inbidi kama kweli ni wapenzi wa mpira mjaribu kuangalia profile zote then mjudge from there.
   
 10. M

  Mubii Senior Member

  #10
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 146
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani hili suala la kupiga kura tu haiwezi kuleta ukweli. Wengi leo (wanaopiga hizo kura za kusema na zaidi) ni vijana ambao hawakupata fursa ya kuwajua vizuri wachezaji wa zamani kama Pele, Ausebio, Jarzino, Bobby Moore, George Best na hata Garincha. Wapo wanaoamini Garincha alikuwa mkali sana kufikia Pele lakini leo hazungumzwi na sababu kubwa ni kwamba alivuma miaka ya early 1960s. Hivyo, kufahamu ni nani zaidi nadhani linahitaji mtazamo wa kina zaidi na mimi sina utaalamu huo. Mimi kwa mtazamo wangu binafsi naamini Pele ni zaidi ya Maradona na wengine wote licha ya kwamba naamini kabisa nao walikuwa wakali kweli kweli. Pele akiwa timu ya Brazil alishinda kombe la dunia mara tatu; mwaka 1958 akiwa na umri mdogo wa miaka 17 tu; mwaka 1962 na 1970. Mwaka 1962 nadhani hakushirika sana kwa kuwa aliiumia na Garrincha ndio alikuwa kinara.
   
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Muathu mbona una-assume hatujui profile zao. Tunawajua wote kuanzia Eusebio, Pele, De Stafano, Garincha, Best mpaka kizazi cha Maradona na mkali kuliko wote ni El Diego! Kura zimethibitisha hivyo. Na mambo yake yamethibitisha. Na kama anavyosema, enzi alizokuwa anacheza yeye mabeki walikuwa kama wawindaji wenye mbwa, walikuwa hawamwachii upenyo kabisa. Ila mambo yake yalikuwa mazito ndio maana aliwafungisha tela mabeki wote wa Uingereza mwaka 1986 na kupiga bao kali sana baada ya lile la Mkono wa Diego. Mtu ambaye anaweza kumfikia labda ni Messi tu!
   
 12. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,807
  Likes Received: 3,462
  Trophy Points: 280
  Diego Maradona
   
 13. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  PELE all the way!

  He is the greatest footballer ever.

  Just like MICHAEL JORDAN in Basketball, MUHAMMAD ALI in boxing (TEOLIFO STEVENSON in amateur boxing), MICHAEL SCHUMACHER in F1 motor racing.

  Edison Arantes do Nascimento 'PELE' made his World Cup debut in Sweden 1958 ages just 17.
  In that World Cup tournament, he became the youngest player to score a goal (aged 17 yrs & 239 days), and in the semi-finals he again became the youngest player ever to score a hat-trick against France. In the Final he became the youngest WC Winner at 17 yrs & 249 days while himself scoring 2 goals in the Final against the hosts Sweden.

  All in all, in his career he played in 1,363 matches, scoring 1,282 goals.


  Maradona was the greatest of his era. Likewise Zinedine Zidane.

  But there has been great footballers down the years like Ferenc Puskas 'Galloping Major' (who scored 4 goals for Real Madrid in 1960 Euro Club Champioshi Final 7-3 win against Eintrach Frankfurt), Alfredo di Stefano, his Madrid team-mate (who scored the other three in the same final), Eusebio "Chinga One?", Garrincha, Johann Kruyff, Franz Backenbauer...
   
 14. m

  mkulu Member

  #14
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi hapa inazungumziwa ukali wa Maradona wapi?Argentina ama .......
   
 15. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 659
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mmmhh! Hapo umekosea mkuu. Yanga, Simba na Prison Mkali Nani Mkali!! Historia inaonyesha wazi Kuwa Dar Young Africa(YANGA)Sio Mkali tu ila Ni WAFALME WA AFRIKA MASHARIKI Baada ya kutoweka kwa Gor Mahia.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 46,863
  Likes Received: 14,477
  Trophy Points: 280
  Una uthibitisho? Umetumia vigezo vipi. Bingwa mara nyingi wa klabu bingwa Afrika Mashariki na kati ni wekundu wa Msimbazi. Isitoshe ni klabu pekee katika ukanda huu iliyowahi kucheza mechi ya fainali ya klabu za Afrika nzima. Yaani unacheza na kombe likiwa mezani. kama si wizi wa ki********* na kifisadi uliofanyika.......... grrrrrrr!!!!
   
 17. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,156
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Hata bongo leo kura zikipigwa Ngassa atawampiku akina Sunday Manara na Abdallah Kibaden
   
 18. Companero

  Companero Platinum Member

  #18
  Sep 5, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mpaka leo huko Argentina mtu akiwa anapanda ghorofani kwenda kwenye ghorofa ya 10 anasema naenda Diego. Huko Naples Maradona ni kama mungu mtu. Washabiki duniani kote wanakubali kuwa hajawahi kutokea mchezaji kama yeye na hatatokea, ndio maana wanamshangaa Messi!

  Hili ndilo jibu la the great Diego kuhusu hoja zenu za upigaji kura na kuchukua vikombe vingi kabla soka haijawa kali zaidi:

  BUENOS AIRES (AFP) - Argentina coach Diego Maradona on Wednesday put Brazilian legend Pele in his place, insisting the latter was the second best player ever after himself.

  A FIFA internet poll in 2000 saw Maradona, who will lead the albiceleste against the five-times world champion Brazilians in a September 5 World Cup qualifier, come out on top and he said on Wednesday that ought to settle the issue.


  "What matters is that when the people voted, he came second behind me. Nobody can take that away from me," insisted Maradona, who said the fact he had played with success in European club football, unlike Pele, ought to be the clincher - even if Pele won three World Cup titles to his one.

  Maradona told FIFA.com that he believed he deserved the accolade of number one player ever.

  "Do you know what? I played in European football for ten years while Pele played in South America. Yes he won World Cups and everything, but playing in Europe is something else entirely," he said.

  "Not that that makes me much better than him or anything like that. When I played, the man-markers in Spanish and Italian football were like hunting dogs. They never left me alone," said the Argentine.

  Chanzo: http://sports.yahoo.com/sow/news?slug=afp-fblwc2010latamargbrapelemaradona&prov=afp&type=lgns
   
 19. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huo ss ushabiki ilihali fika unajua Simba dume popote uendako.
   
 20. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,804
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145

  Gor mahia ya Kenya sio tu walicheza fainali bali walichukua kombe lililokuwa likiitwa la washindi wakati huo mwaka 1987.
   
Loading...