Peggy: Mdoli mwenye nguvu za giza ambaye ameripotiwa kusababishia watu matatizo waangaliapo video yake

Wewe jamaa umenipotezea dk5 na sekunde 10 zangu kuangalia hii "clip". Na sijui hiyo "Watch at your own risk" imewekwa ya nini!!!! Nikajua kuna kitu kinatisha bhana...
 
Kuna site moja niliangalia yaani hii dunia ina mambo mabaya mno najuta kabisa na ilinitesa mwezi mzima sina amani. Ndio utajua kwa hakika shetani yupo.
Hebu uiseme tuiangalie tunapendanga mateso
 
Back
Top Bottom