pedi za mimea kutoka kampuni ya tasly(wakina dada) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pedi za mimea kutoka kampuni ya tasly(wakina dada)

Discussion in 'JF Doctor' started by jembe12, Oct 24, 2012.

 1. j

  jembe12 Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pedi salama kwa wanawake utafiti wa kitaalamu unaonesha kwamba matatizo ya hedhi,kukoma kwa hedhi na vimbe katika kizazi yanazidi kuongezeka moja ya sababu ni matumizi ya pedi zisizo salama,pedi salama zipo nchini ni jibu kwa kurekebisha mzunguko wa hedhi yako yaani siku zako,kuua vijidudu wanaoweza kushambulia kizazi,tumia kwa kuzibua mirija ya uzazi,zinafyonza usafi na kupunguza acid kwenye kizazi,sasa maumivu ya tumbo na kuumwa wakati wa hedhi basi,zinakinga na kuondoa miwasho fangasi na kujikuna basi,zitakusaidia kupanga uzazi kwa kuhesabu siku vizuri,zinafaa hata kwa walio koma hedhi zao,huboresha viungo vya uzazi kuvifanya visizeeke haraka

  AINA ZA PEDI:
  • Day dry net kwa mchana idadi 15
  • Day cotton kwa utokaji mwingi mchana idadi 15
  • Night cotton kwa utokaji mwingi usiku idadi 15
  • Pantiliner kwa usafi wa kila siku idadi 30
  kwa msaada
  ma email; jembe86@gmail.com cp_ry4.jpg
   
 2. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapa hapaniusu ngoja nitoke waje ritz,asha d ,kingasti, na zee la kimakonde hapa ndipo panawausu
   
 3. j

  jembe12 Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio mbaya mkuu ukimchukulia shemu
   
 4. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Bei sh. Ngapi?
   
 5. j

  jembe12 Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bei hzo 5000 dada yangu
   
 6. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hizo pedi kiboko! dah!
   
 7. j

  jembe12 Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu dada yangu
   
 8. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mh! Pedi za kurekebisha mzunguko? Kwa mechanism gani? Za kupanga uzazi? How? Au matangazo tu na wajinga ndio watakaoliwa elf 5 zao?
   
 9. j

  jembe12 Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dada hzo zpo quality na bora uwaulize walio waitumia hacha kung'ang'ana na bei wakati imeundwa na quality material ili kukulinda na magonjwa mengi tu,subiri walio tumia watakupa feedback dada yangu
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwani huna mke wala mpenzi??
   
 11. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Zinatengenezwa localy au ndo mchina??
   
 12. j

  jembe12 Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Izo ni imported from abroad ondoashaka,not local product
   
 13. C

  Cha-phile Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  znapatikanaje mimi nipo Mwanza SAUT na kuna watu wanazihitaj
   
 14. j

  jembe12 Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nichek kwenye dis number tushauliane jinsi ya kukufikia 0773043764
   
 15. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  WIfI, Angel Msoffe, Ciello, Nivea na wengineo tunaomba mtufanyie utafiti kwanza halafu mtuletee Results.
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sijawahi kuona pedi inamulti function kama hiii
   
 17. j

  jembe12 Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo pakununua hpo dada yangu iliikukinge na mambo mengi
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmh
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  he he he, hutaki kupanga uzazi, kutiwa mimba kwa pedi??

  Hizi pedi zinaongeza maziwa kama ananyonyesha.

   
 20. j

  jembe12 Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hacheni masìhara hzo product ni za huwakika
   
Loading...