Pedeshee Ndama kortin Kisutu

NDAMA MUTOTO YA NG"OMBE ni ustadh hanywi pombe!!!
Kelele wewe kaacha lini huyu tumekula naye sana nyagi miaka hiyo na mashati yake hata kupiga pasi hawezi.
Msofe,Kizaizai,yule muhaya aliekatwa ukuni China,Chacha wote kundi moja waliotea tu.
Na hawana Elimu ya upigaji ndo mana kila siku kesi.
Wengi Chawa tu,Msofe yule kama wamemalizana nae sasa we Chawa unafanya nini tena.
 
Saiv nchi hii we tapeli au takatisha....kwa DPP kuna dirisha la kunegotiate ...ukiwa nazo unarudi uraiani kama huna unaozea jela...Taifa limefika pabaya sana....Ni suala LA muda ataenda kwa DPP arudi tena uraiani...
 
Hao wanayatumia madini kupiga na wageni wengi wanapenda njia za kona Kona kuyapata sasa wengine wakitapeliwa wanatoa taarifa serikalini kuwa hawa jamaa walianza kuwasiliana toka yupo kwao na wanatuma majina ya kampuni na jinsi watakavyosafirisha mzigo kumbe garasa kwa jinsi wanavyopata wateja wangekuwa watu wa harali bado wangepata tu....
 
Yule Hushpuppi pimbi sana hata asingekamatwa alijiingiza kwenye radar za fbi baada ya kumtoa dinner supermodel wa marekani ye akijua anawapiga bao wanaijeria wenzake akidhani ni kama kutoka na wakina Huda. Hapo haikuchukua round fbi wakamjua nje ndani hawakutumia hata nguvu nyingi sabab lifestyle yake social media was a good red flag ndo ukawa mwisho wake. He was a spending fool
Mshamba flani hivii. Sema Sheep wake ukisema jamaa alikuwa mshamba watakuona kama hater
 
Back
Top Bottom