Pedeshee Agonga mtoto hadi kufa

Arvin sloane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
996
203
[h=6]Pedeshe mmoja likuwa akiendesha gari yake, bahati mbaya mtoto mmoja akawa anavuka barabara hivyo akamgonga na mtoto akafa palepale. Akatoka ndani ya gari lake akajaribu kumchukua mtoto ampeleke hospitali. Baba wa mtoto akatokea;
Baba: Unampeleka wapi mwanangu?
Pedeshe: Nataka kumpeleka hospitali kisha niende polisi.
Baba: Mi ndio baba wa huyu mtoto, Mungu alipanga hili sitaki usumbufu wa polisi , wewe tusaidie gharama za mazishi tumshukuru Mungu. Pedeshe akafungua briefcase yake na kutoa shilingi milioni 3 na kumkabidhi mzee. Mzee akachanganyikiwa hakutegemea msaada mzito vile.
Baba: Mzee nilete mtoto mwingine umgonge sio tabu ninao wengi….
[/h]
 
Hahahahaaaa ili mimi niliwaza mengine mpwa nisamehe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom