Pedeshee Abdul Mteketa na ubunge Kilombero

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
kuna tetesi nimezipata punde kuwa pedeshee Mteketa atagombea ubunge jimbo la kilombero ambalo linashikiliwa na Castor Ligalama, wenye habari zaidi mtujuze huyu Mteketa ni yupi??????
 
abdul mteketa,former football player simba sports club,was in the simba line up that faced yanga in zanzibar during i think the east african club championship-i have had the honour of talking to his late dad,who fought gallantry for queen and country during the second world war
 
mwache agombee labda ataleta mabadiliko.Ligarama ni hopeless
 
Ulanga-Kilombero kwetu kazi kwelikweli wana Jf......., tusubiri tuone yataishaje 2010.
 
ameshaunda timu yake ya kampeni? hakuna nafasi zinazohitaji watu, kama vile treasurer? mi niponipo hapa
 
kuna tetesi nimezipata punde kuwa pedeshee Mteketa atagombea ubunge jimbo la kilombero ambalo linashikiliwa na Castor Ligalama, wenye habari zaidi mtujuze huyu Mteketa ni yupi??????

tunaombeni muiweke hapa CV yake huyu mtu
 
kweli Ligalama toka aingie bungeni achanjii-yupo dar anasimamia miradi yake-na aondoke kwa kasi aliyokuja nayo.
 
Majina haya nayasikia sana kwa wasanii wetu wa Bongo. Yule wa orijino komedi(tajiri wa Kihaya) anatu-bore kwa kuyataja mara nyingi kupita kiasi. Nilidhani ni usanii tu kumbe wapo watu hawa. Analipwaje?
 
Hivi hili neno Pedeshee maana yake halisi ni nini? mfanyabiashara mwenye mafanikio? anayehonga? au tapeli? au....?
 
Tupeni cv yake tuione ili kama inafaa tumpe kampani,kama ya hovyo hovyo tumwangalie mwingine. Hatuwezi kumchagua mtu sababu ya kuchezea simba/yanga tu enzi za ujana wake. LEteni cv hapa.
 
Kzi kweli kweli,Jimbo kuongozwa na pedeshee,papaa...Simpi nafasi ya kushinda
Jimbo kuongozwa na pedeshee,umpi nafasi ya kushinda why???? AS far as politics is consened TANZANI ni kama kichwa cha mwendawazimu,any tom,dick and harry can govern.History has proved this right toka aondoke nyerere ourleaders have failed to live up to the billings.Mtekete could be a breath of fresh air,fearless,has street cred and has been there and seen it all.
 
Back
Top Bottom