pdf translator

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,956
4,782
salama wakuu...?

Awali ya yote ningepekenda kujuzwa ni app gani naweza itumia iniwezeshe kusoma vitabu/Document za kiingereza kwa lugha ya kiswahili.

anayejua ni app gani Tafadhali nisaidieni. thnx.
 
google translator inatafsiri maneno na picha hivyo itaweza tegemeana na hio pdf yako,
 
Back
Top Bottom