Pdf creator distorting quality of the word documents

Sabasaba

Member
Jul 12, 2007
94
35
Hi Colleagues at Jambo Forums,

i have been working on some word documents conversion into pdf, and noted of poorly quality pdf with smaller font and distorted images,

Can anyone please come with an idea to maintain th font size and improve the graphics qualities,i have been using pdf creator version 0.8,

Kila la heri kwa mwaka mpya guys,
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,204
203
Sabasaba Hiyo Version Unayotumia Ni Ya Zamani Sana Unatakiwa Uwe Na Version Ya Kisasa Zaidi Ambayo Inategeneza Pdf Docs .

Nakushauri Adobe 6 Standard Na Kuendelea Ambayo Ni Full Version Ukichukuwa Cracked Version Basi Some Features Utakosa Kama Hizo Kutokuwa Na Rangi And So Forth
 

Sabasaba

Member
Jul 12, 2007
94
35
asante shy,
nitajaribu kufanya followup, si unajua upatikanaji wa hizi software nao ni issue,

goodday
sabasaba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom