pccb

Kwa hiyo tufanyeje.? Mitanzania ni mishamba sana kwenye mambo ya interview
 
Sio kweli! Uchambuzi wa maombi bado unaendelea na unategemea kukamilika January 2014. Jumla ya maombi ni 46,000, shortlist itakua 2000 tu!
 
Sio kweli! Uchambuzi wa maombi bado unaendelea na unategemea kukamilika January 2014. Jumla ya maombi ni 46,000, shortlist itakua 2000 tu!
Mkuu vip, hizo taarifa kama ni nyeti sana halafu wewe unazo, niambie upo kitengo gani pale PCCB mkuu. Lazima utakua mtu mzito wewe
 
Mkuu vip, hizo taarifa kama ni nyeti sana halafu wewe unazo, niambie upo kitengo gani pale PCCB mkuu. Lazima utakua mtu mzito wewe

Ndio maana mnatapeliwa kwa stahili kama hizi kijana tulia subiria kumbuka PCCB ni kitengo nyeti cha serikali so mambo yatakuwa open Muombe Mungu wako.
 
hahhaahahhaha c unaona nishajua sasa ningeuliza kawaida mngeanza mitusi kama hilo jamaa hapo juu liliosema mitanzania,ok ni hvi dogo aliitwa migration na co pccb alinizngua.wikiend njema
 
alafu ww kelvin acha upimbi maana ya kuambiwa hvi ni muhimu ili ucwe unazmazma cm yako ya mchina hyo coz mara nyingi huwa unazma kukimbia madeni
 
Migration wameajiri mara moja tu mwaka huu tena wameshamaliza kozi na wapo kazini sasa hivi
hahhaahahhaha c unaona nishajua sasa ningeuliza kawaida mngeanza mitusi kama hilo jamaa hapo juu liliosema mitanzania,ok ni hvi dogo aliitwa migration na co pccb alinizngua.wikiend njema
 
pccb si kuita 2 m2 m1 m1 ivi,ni tasisi kubwa na nyeti. stay patient lazima wata-shortlist for an interview!
 
Kwa hivi mnavyochanganya habari
naamini mtakuja kuitwa na kuibiwa
kirahisi sana na mataperi hasa
wakijivika uhusika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom