Pccb/wizara ya elimu, wizi wa mitihani ya F4, anzieni hapa

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Kwa baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wameonekana kuwa wali-cheat katika mitihani yao napendekeza uchunguzi mwingine uanzie kwa mwanafunzi "Mwanaasha MK" kwani alama zake zinatia mashaka yafuatayo:

.shule ya Feza huchuja wanafunzi kila mwaka, kama alikuwa hana uwezo na akaendelea kuwepo shuleni basi alikuwa akitoa rushwa kwa shule ili aendelee kuwepo ama mzazi wake alikuwa akitumia madaraka yake kulazimisha mwanaye asiondolewe hapo shuleni.

Kama alikuwa na uwezo wa kufaulu katka mitihani ya vidato vya chini lakini akasjindwa vibaya ktk mtihani wa mwisho hili ni ishara kuwa alipewa mtihani "fake" hivyo alijifungia chumbani kusoma na kukariri maswali fake na hivyo kushindwa vibaya-hili pia linahitaji uchunguzi.
 
kufanyika kwa uchunguzi kupitia matokeo haya ya f4 ni jambo la msingi kwani inaonekana baadhi ya watu wanafahamika hawajiwezi lakin bado wamefanya vizuri lakin wengine mhh hapana uchunguzi ufanyike
 
Sasa wewe unaona haya matokeo ya Binti yako yaha uhalisia?, si ajabu Feza schools walikupa hongo ya mwanao kusoma pale ili uwawezeshe kupata kiwanja cha kawe kilichokuwa na migogoro!
Mimi ni............2012 dunia ni yako epuka udaku na majungu...
 
Back
Top Bottom