PCCB should not be involved with debt collection

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,004
but with corrupt officials in the government as well as CCM

Tanesco debtors given deadline
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Wednesday,October 10, 2007 @00:02

DEFAULTING Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) customers have been given a month to settle their outstanding bills amounting to a total of 243bn/- countrywide or face exposure and legal action.

A statement issued yesterday by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) in Dar es Salaam yesterday said that they have agreed with Tanesco to publish the list of all power debtors and the amounts they owe the utility firm after a month.

“After one month we will make public the name of the debtors and the amount they owe the power utility. Later on, we would take necessary measures, including legal action”, the PCCB statement said.

The statement has come following a research conducted by PCCB on Tanesco operations in the country.

‘’A number of issues surfaced in the research that were discussed between PCCB and Tanesco with the aim of plugging loopholes that might result in corruption to bring about efficiency and improve services,’’ the statement said.

PCCB noted in the statement that there are both chronic debtors and ordinary debtors and among them there are government institutions and offices, parastatals, embassies, non-governmental organisations, religious organisations and political parties, industries and individuals.

The bureau appealed to customers to settle their bills promptly to enable Tanesco to run its activities efficiently.

Copyright @TSN 2006 All Rights Reserved
 
Lakini jamani wengi wa wadaiwa wa Tanesco ni walalahoi ambao pato lao kwa mwaka haliwezi kulipa bill ya miezi sita!.. Tutafika kweli?

Mimi naona kama kuna uwezekano wa serikali kuchukua baadhi ya gharama hizi ifanyike hivyo maanake uwezo wa watu wengi ni mdogo sana. Nina hakika asilimia 90 ya wadaiwa ni maskini toka vitongi vya mji.

Mwezi ujao itakuwa kasheshe kubwa na pengine kuwafanya watu wamchukie JK zaidi!..Yametokea South Afrika kule Soweto na baadhi ya vitongoji hadi serikali ilipoingilia kati!
 
Lakini jamani wengi wa wadaiwa wa Tanesco ni walalahoi ambao pato lao kwa mwaka haliwezi kulipa bill ya miezi sita!.. Tutafika kweli?
Mimi naona kama kuna uwezekano wa serikali kuchukua baadhi ya gharama hizi ifanyike hivyo maanake uwezo wa watu wengi ni mdogo sana. Nina hakika asilimia 90 ya wadaiwa ni maskini toka vitongi vya mji...
Mwezi ujao itakuwa kasheshe kubwa na pengine kuwafanya watu wamchukie JK zaidi!..Yametokea South Afrika kule Soweto na baadhi ya vitongoji hadi serikali ilipoingilia kati!

....to bail out hao maskini kwa pesa gani iliyopo? tutakuwa tunazunguka hapo hapo maana kwa maana nyingine ni kutumia tax money ambayo ingefanya mambo mengine ...to me is a no no lakini naamini still kuna way out kumaliza hilo tatizo lakini sio serikali kulipia watu madeni
 
PCCB kukusanya madeni nchi nzima,kweli hii ni aibu sana na hivi madeni ni rushwa au? nina uhakika hawana hiyo manpower ya kufanya hiyo kazi na ndio hapo utajua hii ni mizaha tuu...these ppl needs to get serious!
 
Sijui nini kimewasukuma kukusanya madeni ya Tanesco wakati rushwa zinaendelea na wameshindwa kudhibiti. Anyway, basi kama wameamua kufanya hivyo wa-deal na hayo mashirika , na kampuni wenye madeni makubwa but wananchi wasiwe forced coz most of them wana kipato kidogo.Pia mi nawashauri wazuie kwanza rushwa kwenye mashirika ambo ndo wanahonga ili madeni yao yafutwe kiaina.
 
Kwa kweli PCCB wamechemka! Si tumeambiwa wamepewa 'meno'? Sasa kweli wanataka kutudanganya kwamba watapata eti American embassy haijalipi bili? Na kisha wata -unravel a huge scandal? Kweli wabongo tunazidi kudanganywa! This is ridiculous na siyo habari. Ni ujinga na danganya toto! Waende kuchunguza na kuibua kesi siyo wakisikia kwenye magazeti ndiyo wanadandia kwamba wanaifanyia uchunguzi. Ile issue ya Mahalu iliishia wapi? SI nasikia hawana kesi tena!
 
Ukisikia kujipa majukumu yasiyokuhusu ndiyo hayo ya kukusanya madeni ya Tanesco na PCCB. Kwani Tanesco wameshindwa kujikusanyia madeni yao? Na kama wameshindwa kwa nini wasiwape kazi hiyo YONO na MAJEMBE ambao wanashinda kutwa wakikimbizana na magari jijini DSM. PCCCB kazi yao ya msingi ya kupambana na rushwa imewashinda sasa wanataka kutuhadaa kwa kudandia kazi za wengine! .".... Acheni geresha zenu hizo"
 
Back
Top Bottom