PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

Siku hizi requirements zimeshuka imekuwa D tatu wakati sisi tunasoma zilikuwa point 8...C mbili na D moja duh, haya mambo haya

Binafsi ningesema jaribu hiyo nje au urudi Diploma maana kuna watu wana DiV 1 point 9 na wamekosa though elimu ya UG wanasema haiko njema sana, ingekuwa Kenya ingekuwa nzuri zaid
 
Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda , je Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13

Hebu ni pm nikishauri dogo
 
Back
Top Bottom