albavich van dope
Member
- Sep 27, 2016
- 44
- 7
Natafuta laptop nzur nitumie vigezo gan na affordable nishaurn plz ipi itanifaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujafanikiwa kwa sababu window defender ipo on, hivyo kama unataka kufanya hilo zoezi zima kwanzaMsaada namna ya ku-actiate Window 10. Nimetumia Microsoft Toolkit lakini sijafanikiwa.
Sent from The Black Forest
Natafuta laptop nzur nitumie vigezo gan na affordable nishaurn plz ipi itanifaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama 500k chuo na DJ tasksBajeti yako kiasi gani??
Na pc ni kwa matumizi gani??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo Core i5 , 4gb Ram, 500gb hiyo pia inaweza kukusaidia kwa kazi hizo mkuu.
Hv iyo core ndo inasaidia nnHapo Core i5 , 4gb Ram, 500gb hiyo pia inaweza kukusaidia kwa kazi hizo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa msaada. Ila nilikuja kugundua kuwa ToolKit ilikuwa haifanyi kazi kwangu sababu ya Antivirus kweli. Nimegunduaa too late kitu kilichopelekea kupiga chini window. Now maisha yanasongaHujafanikiwa kwa sababu window defender ipo on, hivyo kama unataka kufanya hilo zoezi zima kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi huwa inategemea na matumizi yako binafsi,ungefanya tafakari kwanza unahitaji kwa matumizi gani then ni rahisi kwa wadau kuja na mawazo yao tofauti.Natafuta laptop nzur nitumie vigezo gan na affordable nishaurn plz ipi itanifaaa
Sent using Jamii Forums mobile app