PingPong
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 926
- 160
Salaam wadau wote..
Naomba wakuu kama kuna mtu anaweza kusaidia kutatua hilo tatizo hapo juu, inawaka vizuri ila kuna muda inaweza kushindwa kuonyesha hata welcome page pia kuna muda ukijaribu tena inafunguka yote bila shaka. Imetumiiza vichwa mi na rafiki yangu na hatujajua tatizo ni nini, tulidhani labda kuna tatizo kwenye OS ila tumefanikiwa kuinstall OS mpya na tatizo lipo palepale, naomba wadau kama kuna mtu anaweza kutusaidia kwa hilo.
nyongeza: mtumiaji alikuwa hana tabia ya kuizima mara kwa mara PC ila alikuwa anaiscan.
shukran!