PC monitor kufanya kazi kama flat tv

yoga

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,808
8,290
Nianze kwa kusema "hamjambo" hope mposalama sana wana wa teknolojia. anyways, dada yenu hapa ni na swali kama title inavyoonekana hapo juu!!! naomba kufahamu kama Pc monitor kama zile za dell au sony au yoyoyte ile naweza kuiconect kwenye decoder yangu either ya DSTV au AZAM au STARTIME kwa kutumia HDMI wire na ikadesplay vizuri?

i mean good quality picture?? je hata deki yenye HDMI port kwa kutumia waya wa HDMI to VGA monitor hiyo itaonyesha?

nauliza hivyo maana nimekuta kuna monitor nzuri sana zenye bei rahisi kuliko tv mpya! inch 32 na inch 27 je hili linawezekana?
dell-up3214q-review-ultrasharp32-4k-24.jpg
mfano wa monitor.
dell-ultrasharp-5k-27-inch.jpg
kwa kifupi kama flat inaweza kufanya kazi kama monitor je monitor inaweza fanya kazi kama tv??
 
share na sisi hizo monitor za 27 na 32 zinapouzwa.

kuhusu quality monitor nyingi zina quality kuliko TV, tena unaweza ukakuta monitor ya laki 5 ina quality kuliko tv ya milioni 3.

ndio kama ina HDMI monitor unaweza chomeka deki au azam yako na ikafanya kazi.

kuhusu VGA ule waya wa VGA kwenda HDMI hautafanya kazi utahitaji adapter ya vga kwenda HDMI, tofauti ya adapter na waya ni kwamba adapter inakuwa inaconvert zile signal, angalia picha hii kuzijua.

753494788540-1-zoom.jpg

ukiangalia hio picha utaona kuna kama kibox hio ndio adapter yenyewe inapo convert,

waya wa kawaida kama huu haufanyi kazi.
41UlzpRHWwL._SY300_QL70_.jpg
 
nikushukuru sana kwa majibu mazuri na muhimu sana! hizo pc monitor ni za dell sifahamu duka zinapouzwa kwa hapa nchini bali nimezikuta kwa mmoja wa watu wangu wakaribu wanaofungua ofisi ya shooting and editing videos, zimenivutia sana.
kwa maelezo yake amenunua used pc monitor ya inch 27 nairobi kwa pesa thamani ya tanzania laki 250000/= sijui sasa kwa iyo 32 kwa majibu yako nataraji sasa nami kuitafuta maana kumbe yote ni sawa.
 
share na sisi hizo monitor za 27 na 32 zinapouzwa.

kuhusu quality monitor nyingi zina quality kuliko TV, tena unaweza ukakuta monitor ya laki 5 ina quality kuliko tv ya milioni 3.

ndio kama ina HDMI monitor unaweza chomeka deki au azam yako na ikafanya kazi.

kuhusu VGA ule waya wa VGA kwenda HDMI hautafanya kazi utahitaji adapter ya vga kwenda HDMI, tofauti ya adapter na waya ni kwamba adapter inakuwa inaconvert zile signal, angalia picha hii kuzijua.

753494788540-1-zoom.jpg

ukiangalia hio picha utaona kuna kama kibox hio ndio adapter yenyewe inapo convert,

waya wa kawaida kama huu haufanyi kazi.
41UlzpRHWwL._SY300_QL70_.jpg
Kupata sauti.... Sub woofer itahitajika
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Vp ndugu je! Kwenye laptop iyo connection itakubali au lazma uwe na special program? Nisaidie kwa hilo
 
share na sisi hizo monitor za 27 na 32 zinapouzwa.

kuhusu quality monitor nyingi zina quality kuliko TV, tena unaweza ukakuta monitor ya laki 5 ina quality kuliko tv ya milioni 3.

ndio kama ina HDMI monitor unaweza chomeka deki au azam yako na ikafanya kazi.

kuhusu VGA ule waya wa VGA kwenda HDMI hautafanya kazi utahitaji adapter ya vga kwenda HDMI, tofauti ya adapter na waya ni kwamba adapter inakuwa inaconvert zile signal, angalia picha hii kuzijua.

753494788540-1-zoom.jpg

ukiangalia hio picha utaona kuna kama kibox hio ndio adapter yenyewe inapo convert,

waya wa kawaida kama huu haufanyi kazi.
41UlzpRHWwL._SY300_QL70_.jpg
Mkuu nakumbuka yangu niliipata kariakoo mtaa wa uhuru duka nalikumbuka vizuri kabla ya kufika filling station ya uhuru kuna duka hope wanauza vifaa vya mziki hope ukirudi nyuma maduka matatu hapo unazipata
 
itategemea na monitor, zipo zenye built in speaker, hasa zenye hdmi sababu unapitisha pia sauti.

ila kama haina speaker sabufa itakuhusu au speaker yoyote ya nje.
So ukiwa na kisambuzi cha Azam(ambacho kina HDMI port) na Monitor ya PC,ukatumia waya ambao ni HDMI to HDMI unawezaa kuangalia luninga kama kawaida?Msaada plss
 
Nianze kwa kusema "hamjambo" hope mposalama sana wana wa teknolojia. anyways, dada yenu hapa ni na swali kama title inavyoonekana hapo juu!!! naomba kufahamu kama Pc monitor kama zile za dell au sony au yoyoyte ile naweza kuiconect kwenye decoder yangu either ya DSTV au AZAM au STARTIME kwa kutumia HDMI wire na ikadesplay vizuri?

i mean good quality picture?? je hata deki yenye HDMI port kwa kutumia waya wa HDMI to VGA monitor hiyo itaonyesha?

nauliza hivyo maana nimekuta kuna monitor nzuri sana zenye bei rahisi kuliko tv mpya! inch 32 na inch 27 je hili linawezekana?View attachment 623575 mfano wa monitor.
View attachment 623582 kwa kifupi kama flat inaweza kufanya kazi kama monitor je monitor inaweza fanya kazi kama tv??
Mkuu tuambiane bana namimi nilikuwa nashida na hizo monitor ni bei gani? Hasa hizo za 27" na 32"
 
laptop port zake ni za kutoa, ili utumie kioo cha laptop kuonyeshea kitu cha nje utahitaji tv box
Tv box naipataje mkuu nimewahi kuzunguka sana kariakoo bila mafanikio kama kuna duka unalijua nielkeze tafadhali
 
Na bei ya tvbox pia naomba
ya laptop sio? mitaa ya uhuru ulifika pale? msimbazi na uhuru kama unaenda congo na uhuru mkono wa kulia wapo nje wengi tu, pale vitu kama hivyo hukosi, mda si mrefu kuna jamaa yangu alinunua ya monitor kwa 30,000. hio ya laptop pengine iwe juu kidogo. sema vitu original bongo tulishavizika siku nyingi vipo vya china tu pale.
 
Poa mkuu ngoja niombe mtu anichekie niko mkoani kwa sasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom