yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 1,808
- 8,306
Nianze kwa kusema "hamjambo" hope mposalama sana wana wa teknolojia. anyways, dada yenu hapa ni na swali kama title inavyoonekana hapo juu!!! naomba kufahamu kama Pc monitor kama zile za dell au sony au yoyoyte ile naweza kuiconect kwenye decoder yangu either ya DSTV au AZAM au STARTIME kwa kutumia HDMI wire na ikadesplay vizuri?
i mean good quality picture?? je hata deki yenye HDMI port kwa kutumia waya wa HDMI to VGA monitor hiyo itaonyesha?
nauliza hivyo maana nimekuta kuna monitor nzuri sana zenye bei rahisi kuliko tv mpya! inch 32 na inch 27 je hili linawezekana?
mfano wa monitor.
kwa kifupi kama flat inaweza kufanya kazi kama monitor je monitor inaweza fanya kazi kama tv??