Natumia pc ya HP window 7, nikicheki muvi au music za video window media player na VLC hzioneshi picha zinatoa sauti. nikizima pc nkawasha itaonesha kwa muziki wa kwanza halafu tatizo linajirudia, naombeni msaada wenu wadau kujua tatizo na kulitatua.
Updated driver na install vlc tn