PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Wale mliokuwa mnashangilia vifo vya Askari waliouawa jana, mmoja huyo hapo angalieni picha yake wakati mnashangilia.

wakiwa wamevaa uniform wanakuwa ni zaidi ya wadudu hao hawajali utu zaidi ya pesa,,! wako tayari kukubambia kesi ukalala ndani bila huruma binafsi uwa nafurahi askali akifa hata uyo simuonei huruma
 
Wale mliokuwa mnashangilia vifo vya Askari waliouawa jana, mmoja huyo hapo angalieni picha yake wakati mnashangilia.
Mkuu, sidhani km kuna mtu anayeshangilia, Isipokuwa watu tunajiuliza kulikoni Hamza kuua Askari tu,na kuwaacha raia tu??.,Ndio maana tunapendekeza Uchunguzi huru, usioegemea upande wowote ule.
 
Wana kiburi wakiwa na zile SMG tu ila wakiwa mikono mitupu hawana jipya ni kisago tu mpaka wanaomba POO!

Jana limeonekana hilo wazi kuwa incase wananchi tukichafukwa tukakamata zile AK47 zao yani kuwapiga na kuzilokota ni ndani ya muda mchache watakuwa wamegaragazwa vibaya. Yani msaada pekee labda jwtz waingilie kati!
Hata jw wanapigika
 
Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako.

Hii habari kama haijapikwa, basi kama ni kweli ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia, wadau wanasema kaacha dona kizembe sana.

Hizo nguvu za kukimbia ni bora angejihami, mbinu bora ya kujilinda ni kushambulia any way RIP wazee, acheni tamaa.
Think about panic attack. And come back to tell the story.
 
Polisi wa Tanzania wameifanya taasisi ya kipolisi kuwa ya hovyo sana, watu wana chuki kubwa sana na hii taasisi, mtu pekee aliweza kuheshimisha alikuwa IGP mwema, alikitahidi sana kuliweka jeshi la polisi karibu na raia.

Sirro hamna kitu pale
 
Juzi chanel ten imetangaza mfanya biashara aliekamatwa na madini feki .
Nadhani itakuwa niyo huto jamaa i asemekana waliyataifisha
Yaani akamatwe na madini fake bado awe na guts za kupambana na polisi 🤔? alafu polisi wanataifisha vipi kitu fake? acheni porojo asee
 
Think about panic attack. And come back to tell the story.
Ukisoma jenga na picha kichwani...
Askari mwenye mafunzo anatoroka na silaha, jamaa anamfuata alipokimbilia anamuaa na kuchukua silaha yake... yaani muuaji hata hajadhurika...
Kitendo cha askari kuondoka mikononi mwa adui tayari ni cover tosha... angetake cover na kutumia mafunzo yao ya kiaskari ....
Hii habari imepikwa...
 
Huko ni kwa sababu silaha/bunduki ununuliwa kiurahisi hivyo raia wengi sana wanazimiliki... kwa uonevu wa maaskari wetu huku kama raia tungekuwa na hizo silaha hali ingekuwa mbaya zaidi ya hiyo marekani
Tatizo lako ni biasness dhidi ya askari polisi wetu kama ilivyo kwa huyo muuaji (gaidi) ambaye alikuwa na bastola (sio manati). Aliipataje na kwa madhumuni gani? Hatujui.

Alivamia na kuua askari wawili na kuchukua silaha 2 (smg), na inaonesha ni mtumiaji mzuri wa bunduki na ktk ulengaji shabaha. Ni tukio lililopangwa na kutekelezwa kama yanavyofanyika matukio kama hayo kwa wenzetu nchi zilizoendelea.

Ni makosa ku-generalize kuwa askari polisi ni wabaya. Na hakuna sababu yoyote inayohalalisha mauaji/majeruhi na taharuki kwa watu wasiohusika. Hii sio desturi ya kiafrika, kwamba nakosana na wewe halafu naenda kuwapiga mkeo na watoto. Fuata sheria na dai haki yako kwa kufuata taratibu.
 
Back
Top Bottom