Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
Kwa Tanzania imeondolewa kwenye "black listed countries" mpaka uweke pesa paypal?Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
Siyo kweli mkuu haijaondolewa, upo Tanzania ipiKwa Tanzania imeondolewa kwenye "black listed countries" mpaka uweke pesa paypal?
weka pesa kwenye MPESA MASTER CARD.kisha load kwenye paypal.ni raisi sana na huakika zaidNahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.