Pay As You Earn (PAYE): Wafanyakazi mna maoni gani?

NIlisoma report ya Jaji Bomani PAYE inacontribute kama 17% ya mapato ya nchi na wanaokamuliwa hawazidi 3mil!
Haya ni mateso kwa wafanyakazi bse hawaoni nafuu ya maisha in return of the tax wanazokatwa ie polisi kila kitu walipia mpaka karatasi,hospital ndo usiseme,

Simaanishi kuwa izo huduma zitolewe bure ila angalau kuwe na unafuu fulani mtu afeel kuwa kodi yangu imetumika
Nasikia Mramba ndo alituingiza mkenge wa % kubwa ya PAYE
 
PAYE = PAY AS YOU EARN! Lipia kadiri upatavyo,=the higher you earn the more you should pay tax=>progressive tax! No question about that? The issue is why should only employees in the formal sector should pay as they earn while the public services they get such as healthy, water, education, security etc do not equate the PAYE suffered? why can't we widen the tax base here and lower the tax threshhold?Uvivu wa kufikiri tu, tunataka miteremko inayowaumiza wachache tu!
 
Mkuu asante sana yaani angalia MIJITU yenyewe ndio akina "Mgimwa"....mvivu wa kuongea, kupanga hoja hata kufikiri yaani limeingia juzi tu.....limeshindwa kusoma bajeti na kuipanga ili kuleta nafuu kwa mtanzania wa kawaida. lenyewe limemeza tu na kusoma bungeni yaani siku zote bungeni lilikuwa linalala.....ni kama halijui uchumi na hali ya maisha ya watu walio wengi. I hate to write like this damn!
 
Wadau tujuzane kuhusiana na income tax asilimia inayokatwa na ahadi ya serikari ya kuipunguza. Je asilimia ya juu ni ngapi na ya chini ni ngapi.

AtZmOj3FV-Q-fDPB9tbyc_b0yuTOH7uwEbOmosWYsRJK.jpg

Hapa income tax = 195,264*100/1,114,000 = 17.5281.
 
Huo ni mfano wa mshahara unaofikia million na zaidi unakatwa asilimia 18. Nakumbuka asilimia iliyokuwa inaombwa kupunguzwa ni 15 - 9, je inakuwaje hapa makato yako juu ya hiyo 15%? Tafadhali wachumi wa mahesabu tuelimishane kuhusu hili
 
Mkuu,

PAYE (pay as you earn) inalipwa kwa tax brackets. hapa chini nimeweka jedwali linalioonesha namna inavyokokotolewa kwa mujibu wa finance act ya 2014. utagundua kwamba huyo mtu amelipa kodi kulingana na bracket ya chini kabisa
Lower bracketHigher bracketTax amount
- 170,000.00 0
170,001.00 360,000.00 12% of amount exceeding 170,000
360,001.00 540,000.00 22,750 plus 20% of amount exceeding 360,000
540,001.00 720,000.00 58,800 plus 25% of amount exceeding 540,000
720,001.00 infinity 103,800 plus 30% of amount exceeding 720,000
 
Nje ya mada kidogo! Hivi hizi fedha za likizo na zenyewe kisheria zinatakiwa zikatwe kodi na michango ya hifadhi za jamii? Kuna mhasibu mmoja anafanya hivyo kwa kuchanganya fedha za mshahara na za likizo af ndio anatafutia hiyo Paye pamoja na makato ya mfuko wa hifadhi ya jamii. Nilishawahi kumuuliza ye mwenyewe hana majibu yanayoeleweka ina maana hana uhakika na anachokifanya.
 
Mkuu soma kidogo:
7​
(1) An individual's income from an employment for a year ofincome shall be the individual's gains or profits from the employment of
the individual for the year of income.

(2) Subject to the provisions of subsection (3), (4) and (5) incalculating an individual's gains or profits from an employment for a yearof income the following payments made to or on behalf of the individualby the employer or an associate of the employer during that year of incomeshall be included:(a) payments of wages, salary, payment in lieu of leave, fees,commissions, bonuses, gratuity or any subsistence travellingentertainment or other allowance received in respect ofemployment or service rendered;(b) payments providing any discharge or reimbursement ofexpenditure incurred by the individual or an associate of theindividual;(c) payments for the individual's agreement to any conditions of theemployment;(d) retirement contributions and retirement payments;(e) payment for redundancy or loss or termination of employment;(f) other payment made in respect of employment includingbenefits in kind quantified in accordance with section 27;(g) other amounts as may be required to be included under Division​
II of this Part.
 
Je wataalamu mimi nimepata offer ya ajira sehemu nimeambiwa Gross salary 981000; ikijumuisha makato ya PAYE, NHIF 3%, GEPF 5% nitabakiwa na sh.ngapi take home maana sijajua income tax nitakatwa sh.ngapi urgent naomba msaada kabla sijaacha kazi yangu nono ya sasa.
 
Mkuu mungu mweusi. Nyumbani utakwenda na tzs 735,135. Hii ni baada ya kutoa GEPF-49,050, PAYE-167,385 na NHIF-29,430
 
Sasa kilichokuwa kinapendekezwa kipunguzwe na chama cha wafanyakazi ni kipi? Mkuu User2013 naomba msaada tafadhali.
 
Yaan jaman nimefurah kwa kuchangia Taifa langu. Lakn naomba anaejua mahesabu kwa mshahara wa Tsh. 780,000/= kodi ya Serikali ile Pay As You Earn inakua ngpi??? Maana kiasi nilichokatwa ni hatariiiiiiii!!!!

Mwenye kujua ile calculator ya PAYE msaada plzzzzzz
 
Kha, kumbe umeshakatwa tayari, sasa hujui umekatwa sh ngapi? Maajabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom