PAYE ni msumari kwa wafanyakazi,calculate makato yako hapa

Kumbakumba

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
222
18
Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa lakini???...kwa mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi wa nchi hii, huu ni msumari kwa wafanyakazi..Wafanyabiashara wataendelea kuwa wafalme wa nchii hii kwa kutokulipa kodi huku wafanyakazi tukiendelea kuteseka..

tumia link hii kufahamu makato yako ya kodi:http://www.tra.go.tz/documents/Paye.htm

Tunahitaji kuchukua hatua, tena haraka bila kuchelewa..

Mkuu hiii kitu acha tuu, maskiti watanzania? na bado
Waalimu na Madaktari wanashitakiwa na serikali mahakaman,
 
Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa lakini???...kwa mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi wa nchi hii, huu ni msumari kwa wafanyakazi..Wafanyabiashara wataendelea kuwa wafalme wa nchii hii kwa kutokulipa kodi huku wafanyakazi tukiendelea kuteseka..

tumia link hii kufahamu makato yako ya kodi:http://www.tra.go.tz/documents/Paye.htm

Tunahitaji kuchukua hatua, tena haraka bila kuchelewa..

Kwa serikali yetu inavyojali na ilivyosikivu inabidi tuulazimishe ujasiriamali hata kama hatuwezi...Ninachoona mmi hii migomo na the like kamwe haitakuja kusaidia...Hata serikali ikija kuongeza let say mshahara na kuondoa kodi haitakuwa katika kiwango cha kutosheleza ukizingatia mfumuko wa bei unaongezeka kila siku...
Hapa iliyobaki ni kuchanganya za kwako na mbayuwayu tu.
 
Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa lakini???...kwa mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi wa nchi hii, huu ni msumari kwa wafanyakazi..Wafanyabiashara wataendelea kuwa wafalme wa nchii hii kwa kutokulipa kodi huku wafanyakazi tukiendelea kuteseka..

tumia link hii kufahamu makato yako ya kodi:http://www.tra.go.tz/documents/Paye.htm

Tunahitaji kuchukua hatua, tena haraka bila kuchelewa..

Mkuu nashukuru kwa kunishtua. Nafikiri kuna mabadiliko kidogo kuanzia July.
 
Hii nchi ina laana na hata wafanyakzi wengi hatujui umuhimu wa elimu tulizo nazo na tufanye na kwa wakati upi.tunadaganyika sana kila kuchao maneno mengi utendaji zero
 
kuna ule wimbo wa Roma mkatoliki unamaneno makali sana ukiusikiliza na kilichoandikwa hapa ni dhahir hali ni ngumu
 
wangekuwa na matumizi yenye nidhamu na tukaona matunda ya kudi zetu tungekuwa mbali. nimechika sana kuona jinsi wanavyonyonya fedha zetu. tunaumia usiku na mchana kutafuta ajira na pia kuhangaikia shule, wenyewe wamekaa kama maulture wakisubiri tu watoze kodi na wanazitapanya kama mende kenye mtindi. inauma sana.
 
Nikiichungulia hela ninayoipa serikali hii nashangaa kwa nini inaendelea kuwa dhaifu tu. Ukiwaza sana waweza pasuka kwa hasira, halafu eti tuna wabunge!
 
acha watukate hata 50%Watanzania hasa wafanyakazi tumezidi kulala, hatuna umoja, tunajipendekeza kwa wakubwa na kupokea virushwa mbuzi tunasahau kutetetea maslahi yetu ongezeni hata p.a .y.e iwe 50% labda tutaamka usingizini!
 
Nikiichungulia hela ninayoipa serikali hii nashangaa kwa nini inaendelea kuwa dhaifu tu. Ukiwaza sana waweza pasuka kwa hasira, halafu eti tuna wabunge!

usipasuke kwa kufikiria pasua mtu anayekukandamiza na kukuibia!!
 
Mkuu Osokoni, anayetuibia tulimpasua 2010 sema alikuwa smart akawahi 'tume' na tume bila ajizi wakamfanyia ripea isiyo rasmi na kudiclea 'huyu ndiye'.

Inauma sana kwa kweli pesa wanayonipora kwa mwaka inatosha kusomesha mtoto shule ya ukweli kwa ada ya 2 m kwa mwaka kuanzia form 1 to six. Inatosha kujifariji kwa kusema 'yana mwsho'.
 
Back
Top Bottom