Paye imalize tatizo la umeme na iboreshe madarasa ya kata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paye imalize tatizo la umeme na iboreshe madarasa ya kata

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mrekebishaji, Mar 9, 2011.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwa kuwa hapa ni kwa Great thinkers, nawasilisha hoja ifuatayo.

  1. Kwa nini asilimia 10 ya PAYE isiende moja kwa moja kwenye iundombinu ya umeme mpaka tatizo la umeme liishe. Halafu kifuate kipaumbele kingine kama vile uboreshaji wa madarasa ya shule za secondary za kata.

  2. Kwa nini 10% ya PAYE isiende kutatua tatizo la ubovu wa miundombinu hususani mijini ambako walipa PAYE ndio wanateseka sana.

  Your thoughts please.
   
 2. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tueleze PAYE kwa mwaka ni kiasi gani. Kwa nini sio SDL au VAT?
   
 3. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  PAYE kwa mwaka ni kubwa zaidi pengine kuliko hata VAT. Ila ni hakika kuwa ni kubwa zaidi ya SDL. Hata hivyo inaweza kuwa 10% YA vyote hivyo na kwenye malipo iende kwenye akaunti tofauti.
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  No research, no right of speech. You should do a simple research before posting a thread.
   
Loading...